Simba itaingia fainali ikiwa huko Afrika kusini

Ukiangalia ball possession?
Nani alishambuliwa sana?
Hiyo ya ga Yako mbona juzi hapa walishindwa kupata goli moja TU ili wamtoe Mwarabu Ili wasonge mbele?
Ndio nimesema kwamba tusiishi kwa kukalili.
Nadhani hujui historia vizuri,Simba aliwahi kumtoa Zamalek bingwa mtetezi wa club bingwa kwao .
Weka hera yako uliwe kwa kusema Simba anashida na mimi naweka yangu kwa kusema Simba anapigwa gori 3 -0 kwenda mbele
 
Yuko wapi ahmed ally msemaji wa simba mwenye kauli timilifu kana kana kwamba ana uhakika, mzee wa hatuishii hapa mpaka fainali? Vitabu vya kumbukumbu za simba vianze kutayarishwa kama simba itanyakua kombe hilo na kulileta katika ardhi ya tanzania itakuwa ni historia kubwa tangu timu hiyo ianzishwe
 
Hao wachezaji wazuri wako wapi.
Wanachezea timu gani.
Hiyo timu imefanya nini.

Wachezaji ni hawahawa braza...
Beyond quality hii ya akina mpanzu hawapo Afrika.
Walishaonwa, walishakwenda ulaya.
Hata huyo Mpanzu alihusishwa Rc Genk.
Nasisitiza wachezaji ni hawahawa akina Feisal..Ateba nk
 
Bora wasiingie kuepuka kupata aibu kwenye fainali mbele ya Rs Berkane......maana inawezekana ikawa ni aibu kubwa kwa Taifa
 
Punguza makasiriko.... Timu namba nne kwa Ubora Afrika lazima iwe na wachezaji wenye hadhi ya nafasi ya nafsi ya nne.....Kitendo cha simba kuwa number nne kwa ubora Afrika maana yake wachezaji wote ni Bora na wazuri... OVA
 
Bora wasiingie kuepuka kupata aibu kwenye fainali mbele ya Rs Berkane......maana inawezekana ikawa ni aibu kubwa kwa Taifa
Mnazidi kuhamisha magoli.. sasa mumeona kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Simba Kuingia Fainali sio...?? Nasubiri mseme Berkane ni timu ya kawaida sana na dhaifu pindi mnyama atakapo nyakuwa Kombe la shirikisho..
 
Sahihi kabisa mkuu.

Kingine cha kuzingatia, nasikia jamaa wamepeleka game Durban kwa sababu kuna vishawishi vingi kule. Wachezaji walindwe sana kipindi chote watakapokuwa huko. Watapata muda wa kutosha kufanya starehe kipindi cha likizo baada ya kubeba makombe.

Hatuishii hapa!
Asante kwa kunijuza hili.
Ila naona Simba ilishavuka mitego ya vishawishi, wachezaji wanitamani sana fainali.
Kuhamishia mechi Durban wao ni sehemu ya kupaniki,tofauti na Simba tulihamishia mechi Zanzibar kwa sababu ya matatizo ya uwanja.
Siku hizi Simba anashinda popote,
Na waliokua wanatuhujumu na kutufanyia figisu nje ya uwanja ni timu za Misri zaidi lkn tulikuja tukagundua uivu wao ndio maana siku hizi tunaweza kuwatoa.

Timu yoyote kujilinda ni kawaida lakini Simba Jana alikua na kazi kubwa mno kujilinda kwa sababu wangepata goli moja TU wangetutoa kwenye mchezo na kutupa mlima mkubwa wa kupanda.
Sasa naamini wao ndio Wana Hali ngumu mno la kujilinda,na Simba tukipata goli moja TU,watapaniki na kuwatoa kwenye mchezo na watakua na mlima mkubwa.
Nakuhakikishia hawahawa akina Mukwala,Ateba,kapombe,Mpanzu,Ngoma,Kibu n.k Kuna atakaepata goli.

Hua naamini sio Kila kucheza nyumbani ni faida na sio Kila kucheza ugenini ni hasara.

Kwa hatua ilipofikia mechi hii, Stellenbosch ndio mwenye risk kushinda Simba.
 
Mnazidi kuhamisha magoli.. sasa mumeona kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Simba Kuingia Fainali sio...?? Nasubiri mseme Berkane ni timu ya kawaida sana na dhaifu pindi mnyama atakapo nyakuwa Kombe la shirikisho..
Watachagua wenyewe kuishi hapo au kwenda kuaibika fainali,kama mnacheza kigoi goi vile sauzi,bora msitoboe maana kuna aibu itatokea
 
Mnapovurunda ugenini na kusema 'watakuja kwa mkapa' hapo inakuwa kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ila nyie mkienda nyumbani kwa wengine hicho kigezo kinakuwa aaah!
 
Hao wachezaji wazuri wako wapi.
Wanachezea timu gani.
Hiyo timu imefanya nini.

Wachezaji ni hawahawa braza...
Beyond quality hii ya akina mpanzu hawapo Afrika.
Walishaonwa, walishakwenda ulaya.
Hata huyo Mpanzu alihusishwa Rc Genk.
Nasisitiza wachezaji ni hawahawa akina Feisal..Ateba nk
Kweli kabisa Mkuu,uko sahihi kabisa .
 
Mnapovurunda ugenini na kusema 'watakuja kwa mkapa' hapo inakuwa kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ila nyie mkienda nyumbani kwa wengine hicho kigezo kinakuwa aaah!
Mambo yamebadilika Mkuu.
Hata wao wanaamini kwamba kwao watatutoa,lkn nakuhakikishia haitakua hivyo.
Uzuri Simba Ina akiba mikononi,droo yoyote tunasonga mbele,tukipata goli moja tutakua tumewapa mlima mkubwa wa kupanda na Simba anauwezo wa kupata magoli huko.

Viwango vya kiuchezaji vya Stellenbosch na Simba vinafanana,hivyo sioni Stellenbosch kuweza kumfunga Simba goli nyingi na Simba ana uwezo wa kupata goli.
 
Je hao walikua na wapo sokoni?
Je gharama yake Simba wangeiweza?
Na je nao walikua na utayari wa kuchezea Simba?
Je Simba tulikua na uwezo wa kushindana na ma Giant ambao pengine nao walikua wanawataka?

Mambo haya Yana Siri kubwa sana nyuma ya pazia.

Kumbuka usajili ni gharama ndio maana timu ndogo hua hazipati wachezaji wazuri.

Mfano timu kama kagera,Namungo,Tabora,JKT, Coastal,Azam,Pama, Singida,Mbeya city,Mtibwa n.k haziwezi kushindana usajili na Simba na Yanga hapa nyumbani.

Piq Simba na Yanga haziwezi kushindana usajili na timu kubwa za Afrika kama Al Ahly,Raja Casablanca,Waydad Casablanca,Esparence,Mamelody n.k.
Nazo hizo haziwezi kushindana usajili na timu kama Real Madrid, Barcelona,Arsenal, Liverpool, Juventus,Buyer liverkursen,Buyern Munich,n.k.
Kwa hiyo inawezekana Simba tunataka kuibebesha mzigo isioweza kuubeba kwa uchumi wake.

Hata hivyo bado nasisistiza hawahawa akina Ahoua ndio wameiingiza Simba nusu fainali baada ya miaka 30 na bado haijaisha mpaka iishe .
Nina uhakika Simba inaenda kufuzu.
Umeandika vizuri kiasi lakini angalia wachezaji wa Yanga na Mamelody yanga wakicheza leo na Mamelody moto unawaka.

Kupata Mchezaji Bora hakuitaji Fedha nyingi sanaa kunahitaji Usajili mzuri.
Timu namba nne Africa Iwe na wachezaji wanao reflect No 4 Africa.

Kinachoniboa ni Simba kuzidiwa Quality na singida
 
Azam wana pesa Mingi sana lakini wanasajili hovyo mno.
Tunataka kuona Quality zile za Simba zinazoendana na Ubora No 4 Africa.

Kikosi cha Simba 2020 ni Bora kuliko hiki cha leo mala 100
 
Punguza makasiriko.... Timu namba nne kwa Ubora Afrika lazima iwe na wachezaji wenye hadhi ya nafasi ya nafsi ya nne.....Kitendo cha simba kuwa number nne kwa ubora Afrika maana yake wachezaji wote ni Bora na wazuri... OVA
Mkuu Hawa watu wamekua wakiitabiria Simba hii ya Fadlu kushindwa Kila siku lkn imekua ikiwaonesha maajqbu.

Tukianza na msemaji wa Yanga aliwahi kunukuliwa akijisifu kua katika timu zote za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Afrika itabaki timu moja TU nayo ni Yanga,lakini matokeo yake Imebaki Simba.

Kuna wapo waliosema itaishia robo fainali ,lkn Leo IPO nusu fainali.

Kuna waliosema itatolewa na akina Mabululu lkn ikawatoa.

Kuna waliosema itashika mkia Katika kundi lake lkn ikaongoza kundi.

Kuna waliosema itatolewa na Al Masry lakini Al Masry ndio katika.

Kuna waliosema itafungaa na Stellenbosch lakini Simba ndio imemfunga Stellenbosch.
Sasa wamebaki kuhoji kwa Nini Simba imefungaa goli moja.

Wanasahau kwamba Stellenbosch nayo ni timu kama simba ilikua inacheza kujilinda ili sisifungwe magoli mengi,nayo Simba ikienda huko itacheza kuhakikisha haipotezi mchezo huo,na hata kupata goli jingine.
Simba hii ya Fadlu imekua ikidharauliwa lakini inaenda.

Pamoja na kua timu haijakaa muda mrefu wachezaji kuelewana lakini inaonesha maajqbu.
Ndio maana Kila mshabiki wa Simba ana kikosi chake kichwani tofauti na Fadlu ni Kwa sababu timu bado inajengwa lkn inafanya vizuri.
 
Mambo yamebadilika Mkuu.
Hata wao wanaamini kwamba kwao watatutoa,lkn nakuhakikishia haitakua hivyo.
Uzuri Simba Ina akiba mikononi,droo yoyote tunasonga mbele,tukipata goli moja tutakua tumewapa mlima mkubwa wa kupanda na Simba anauwezo wa kupata magoli huko.

Viwango vya kiuchezaji vya Stellenbosch na Simba vinafanana,hivyo sioni Stellenbosch kuweza kumfunga Simba goli nyingi na Simba ana uwezo wa kupata goli.

Timu iliyoanzishwa 2016
Wachezaji wake kufanana na simba 1946 ni kitu cha Aibu sana.

Timu bora No 4 Africa kufanana na Stellabosch ni aibu mno nina uhakika Stellabosch haipo hata TIMU40 BORA za CAF.
 
Azam wana pesa Mingi sana lakini wanasajili hovyo mno.
Tunataka kuona Quality zile za Simba zinazoendana na Ubora No 4 Africa.

Kikosi cha Simba 2020 ni Bora kuliko hiki cha leo mala 100
Unaweza ukaona hivyo,lkn sio Kila Pesa ya azamu anqpeleka kwenye timu.
Sasa naona kuhusu nafasi ya nne ya ubora unataka kupingana na CAF.
Wao ndio wameiona Simba hii hii ya akina Ahoua ni Bora na wakaipandisha toka nafasi iliyokuwepo kabla Hadi nafasi ya nne.

Nyakati hazifanani ukisema kikosi Cha 2020 lilikua Bora kuliko hiki yapo mambo yanayosababisaha iwe hivyo,mojawao ni wachezaji wale kuachwa kwa sababu ya kushuka uwezo kutokana na umri na kitumika sana
Hii Simba ndio kwanza inajengwa na hunda usajili usajili ukianza watasajili wachezaji mahili.
Kumbuka Simba hii ni mpya bado inajengwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom