CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,928
- 18,912
Wanasema hivyo kwa sababu ya Quality za wachezaji waliopo Simba.Mkuu Hawa watu wamekua wakiitabiria Simba hii ya Fadlu kushindwa Kila siku lkn imekua ikiwaonesha maajqbu.
Tukianza na msemaji wa Yanga aliwahi kunukuliwa akijisifu kua katika timu zote za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Afrika itabaki timu moja TU nayo ni Yanga,lakini matokeo yake Imebaki Simba.
Kuna wapo waliosema itaishia robo fainali ,lkn Leo IPO nusu fainali.
Kuna waliosema itatolewa na akina Mabululu lkn ikawatoa.
Kuna waliosema itashika mkia Katika kundi lake lkn ikaongoza kundi.
Kuna waliosema itatolewa na Al Masry lakini Al Masry ndio katika.
Kuna waliosema itafungaa na Stellenbosch lakini Simba ndio imemfunga Stellenbosch.
Sasa wamebaki kuhoji kwa Nini Simba imefungaa goli moja.
Wanasahau kwamba Stellenbosch nayo ni timu kama simba ilikua inacheza kujilinda ili sisifungwe magoli mengi,nayo Simba ikienda huko itacheza kuhakikisha haipotezi mchezo huo,na hata kupata goli jingine.
Simba hii ya Fadlu imekua ikidharauliwa lakini inaenda.
Pamoja na kua timu haijakaa muda mrefu wachezaji kuelewana lakini inaonesha maajqbu.
Ndio maana Kila mshabiki wa Simba ana kikosi chake kichwani tofauti na Fadlu ni Kwa sababu timu bado inajengwa lkn inafanya vizuri.
Hii timu inafanikiwa kwasababu ya Hamasa na Upepo + kucheza na Timu ndogo zisizojulikana kabisa.
Wachezaji wa Simba wana ubora Mdogo sana, Haishangazi kufungwa na yanga 5 times.
Kukosa ubingwa 4 times.
Kukosa shirikisho 4 times.
Haiwezekani timu yetu kuzidiawa Ubora wa wachezaji na singida