Weka hera yako uliwe kwa kusema Simba anashida na mimi naweka yangu kwa kusema Simba anapigwa gori 3 -0 kwenda mbeleUkiangalia ball possession?
Nani alishambuliwa sana?
Hiyo ya ga Yako mbona juzi hapa walishindwa kupata goli moja TU ili wamtoe Mwarabu Ili wasonge mbele?
Ndio nimesema kwamba tusiishi kwa kukalili.
Nadhani hujui historia vizuri,Simba aliwahi kumtoa Zamalek bingwa mtetezi wa club bingwa kwao .