Shehe Ponda: Ukitaka kuangamiza Taifa lolote Duniani usitumie Mabomu bali Ua Mfumo Wao wa Elimu, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi!

Wewe dume zima unasifia tu
Hivi kweli wewe ni mwanaume una mke na watoto wanakuheshimu?
Mbona mienendo yako inatia shaka kuanzia jinsia, hulka au malezi ya utotoni hukufunzwa ku behave kama mwanaume
Gentleman,
Mimi si dume kwasabb si ngombe wala mbuzi.

Mimi ni mwanaume kamili. Sibabaiki na mihemko, ghadhab, makasiriko wala matusi ya muungwana yoyote yule kwasabb ni nonsense na completely useless..

nadeal na big big issues zaidi, na sio mipasho na ngonjera 🐒
 
Madak..o yako
Konyo
 
Hivi yanayofanyika ni Ukosefu wa Elimu (Ujuzi / Ufahamu) au ni lack of caring and kujipatia mlungula (rushwa) kwa manufaa yako to the detriment of many ?

Ungesema ni Upumbavu / Umimi na kukosa uzalendo, ningekuelewa ila sio ukosefu wa elimu / ufahamu (Hakuna mtu mwenye macho ambaye hajui au haoni kinachoendelea sio up to standard)
 
Madak..o yako
Konyo
umekasirika kamanda?🤣

relax bana na tuendelee kuwaombea manusura wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo.

Tumshukuru Mungu,
matumaini yanaongezeka waliohai wanaendelea kunasuliwa ndani ya vifusi.
Mungu ni mwema sana 🌹
 
CCM imepania miaka yote kuliangamiza Taifa na kwa kiasi hiki wamefanikiwa.
Kinachoniumiza zaidi usalama wa Taifa wapo kana kwamba madudu yanayoendelea ndani ya hili taifa hawayaoni!

Hata ule uchungu wa taifa lao angalau mambo baadhi yanyookè yawe hivi hawana?

Cdf alisema ukweli; kuna viongozi wamepewa nafasi ndani ya hii nchi lakini si raia wa Tanzania.

Hii nchi naamini viongozi wa serikalini hawa wote siyo watanzania. Maanina zao!
 
umekasirika kamanda?🤣

relax bana na tuendelee kuwaombea manusura wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo.

Tumshukuru Mungu,
matumaini yanaongezeka waliohai wanaendelea kunasuliwa ndani ya vifusi.
Mungu ni mwema sana 🌹
Natamani uwe karibu japo nitumie kidogo mafunzo yangu ya pale Mlale JKT
 
Shehe Ponda ameweka nukuu inayosema; Ukitaka kuangamiza taifa lolote Duniani usitumie Mabomu wala Nyuklia bali Ua Mfumo Wao wa Elimu Ili wawape nafasi mbumbumbu nao watajiona wamefanikiwa

Ndipo Wagonjwa watafia mikononi mwa Madaktari, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi, Pesa zitapotelea mikononi mwa Wachumi, Utu utapotelea mikononi mwa Viongozi wa Dini na Haki itapotelea Mikononi mwa Mahakimu

Ukiuwa Elimu Umeliangamiza Taifa

Bandiko liko huko X Ukurasani Kwa Shehe

Ukweli Uliotukuka 🐼

Dominica njema 🌹
Hakuna mfumo wa elimu uliokufa.
Hivi ukiambiwa tengeneza silabasi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu PhD unaweza kutengeneza ili tulinganishe?

Tatizo kuu linaloathiri nchi hii ni ufisadi wanapopata nafasi zza madaraka wanatumia nafasi hizo kujinufaisha kwa ufisadi. Hivi akija fisadi anataka kujenga gharofa kinyume na viwango huyo mtaalamu wa manisoaa atalazimishwa amptishie hata kama michoro ina kasoro. Hapa sio suala la elimu.
 
Natamani uwe karibu japo nitumie kidogo mafunzo yangu ya pale Mlale JKT
ndiyo maana midahalo na mijadala ya kisiasa ilisitishwa ndani ya vyuo vya elimu ya juu kwasabb ya aina ya watu wa aina yako,

athari za mihemko ni mbaya sana kwa mazingira na amani ya mazingira ya kujifunzia.wengi hamna sifa za kuongoza kama ilivyo kwa viongozi ambao wengi mnajipiga kifua kwamba ndiyo mentorz wenu .

actually,
wengi wenu inafaa mpelekwe ghaza 🐒
 
Hivi yanayofanyika ni Ukosefu wa Elimu (Ujuzi / Ufahamu) au ni lack of caring and kujipatia mlungula (rushwa) kwa manufaa yako to the detriment of many ?

Ungesema ni Upumbavu / Umimi na kukosa uzalendo, ningekuelewa ila sio ukosefu wa elimu / ufahamu (Hakuna mtu mwenye macho ambaye hajui au haoni kinachoendelea sio up to standard)
Labda kama huelewi maana ya Elimu 😂

Mfumo wa Elimu hujenga Ufahamu na Maarifa

Sasa pima mfumo wako wa Elimu kama umekupa hivyo vitu

Mfumo wa Elimu ya Tanzania unazalisha CHAWA kwenye Kila field wanaobebwa na Connection kutoka kwa Wanasiasa

Ndio unakuta Prof wa UDSM maisha yake na family yanategemewa connection kutoka kwa Steve Nyerere wa Shule ya Kata 😂😂😂😂
 
Tatizo sio wahandisi, tatizo ni wenye mali kutumia mafundi Maiko, kwa lengo la kubana matumizi.
Umenena vema.
Matajiri wengi wa Kariakoo hawajitambui.
Wanapenda mafundi wa bei nafuu wasio na uwezo.
Majengo mengi ya Kariakoo hayana ubora maaana yamejengwa chini ya kiwango.
Wahandisi wa serikali (wakaguzi) wanashirikiana na wahandisi wasimamizi wa ujenzi kuharibu kazi kwa tamaa ya rushwa.
 
Hakuna mfumo wa elimu uliokufa.
Hivi ukiambiwa tengeneza silabasi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu PhD unaweza kutengeneza ili tulinganishe?

Tatizo kuu linaloathiri nchi hii ni ufisadi wanapopata nafasi zza madaraka wanatumia nafasi hizo kujinufaisha kwa ufisadi. Hivi akija fisadi anataka kujenga gharofa kinyume na viwango huyo mtaalamu wa manisoaa atalazimishwa amptishie hata kama michoro ina kasoro. Hapa sio suala la elimu.
Sasa PhD kuna syllabus ya nini?😂

Na ndicho anachosema Shehe Ponda 😃😃
 
Kungelikuwa na sheria kuhusiana na ujenzi maghorofa kina fundi MAIKO wasingelizama chini ya ghorofa na KUANZA ujenzi wa chini kwa chini

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hao fundi maiko unaowadharai ndio competent kuliko hao wemgine. Hiii issue isichukukiwe kama mwamya wa kutengeneza monopoly kuwa na cheti sio kujua kazi .

Nchi hii ina ngazi mbalimbali za ufundi na zote zinatambulika kuanzia VETA hadi University, kama unataka mafundi wenye degree tu basi hakuna haja ya kufungua vyuo vya VETA.

Sasa hivi hata elimu ya sekondari Mkenda,kaanzisha,mikondo ya amali ili watu wakimaliza shule wawe na ujuzi wa ufundi sasa kama hamtaki wakimaliza wafanye kazi za ufundi hakuna haja ya kuanzisha kitu kisichotakiwa kutumika.
 
Sasa PhD kuna syllabus ya nini?😂

Na ndicho anachosema Shehe Ponda 😃😃
Kwani PhD unaenda tu. Hakuna research topic utapropose? hakuna requirement kama idadi ya paper utakazopublish kabla ya kuqualify? Hakuna topics unazotakiwa kufundishwa( modules)?
 
Shehe Ponda ameweka nukuu inayosema; Ukitaka kuangamiza taifa lolote Duniani usitumie Mabomu wala Nyuklia bali Ua Mfumo Wao wa Elimu Ili wawape nafasi mbumbumbu nao watajiona wamefanikiwa

Ndipo Wagonjwa watafia mikononi mwa Madaktari, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi, Pesa zitapotelea mikononi mwa Wachumi, Utu utapotelea mikononi mwa Viongozi wa Dini na Haki itapotelea Mikononi mwa Mahakimu

Ukiuwa Elimu Umeliangamiza Taifa

Bandiko liko huko X Ukurasani Kwa Shehe

Ukweli Uliotukuka 🐼

Dominica njema 🌹
Hili suala tutawalaumu Sana Wahandisi, lakini ukweli ni kuwa kila anayejifanya anazo pesa za kujenga anajifanya Mhandisi.
Kupitia sakata hili nadhani Heshima ya Wahandisi itarudi,na kama wapo Wahandisi wasio na weledi watajulikana tu.
 
Labda kama huelewi maana ya Elimu 😂

Mfumo wa Elimu hujenga Ufahamu na Maarifa

Sasa pima mfumo wako wa Elimu kama umekupa hivyo vitu

Mfumo wa Elimu ya Tanzania unazalisha CHAWA kwenye Kila field wanaobebwa na Connection kutoka kwa Wanasiasa

Ndio unakuta Prof wa UDSM maisha yake na family yanategemewa connection kutoka kwa Steve Nyerere wa Shule ya Kata 😂😂😂😂
Elimu ni kupata ufahamu na maarifa..., matumizi ya hayo maarifa ni choice ya mtu husika na utamaduni wa sehemu husika..., kwahio kama ukiona kwamba uchawa ndio fashion hicho kitu hakifundishwi popote bali ni ule utamaduni wa kuona kwamba hiki au kile hakifai....

Kwahio ili tositoke kwenye reli turudi palepale kwenye udaktari na uhandisi...., ni kwamba kwa sasa tuna wahandisi na madaktari wengi kuliko hata hapo nyuma, watu hawa wana uelewa wa kutosha na ufahamu..., ila uwepo wa madaktari hakujaondoa Imani au uwepo wa watu kuamini kulogwa na ushirikina hivyo kuacha kutumia dawa au wengine kujua kabisa hizi nondo hapa kwa hili jengo hazifai ila kutumia rushwa ili kupitisha jengo...., Hayo hayafanyiki for lack of knowledge which these people now have, even more than before..., bali utamaduni wa Imani kuongoza common sense na matumbo kutawala kuliko undugu na ustawi wa jamii
 
Mimi hajanitosheleza kwa hoja hiyo.

Tuseme rushwa iliyotamalaki kila sekta za umma za Serikali hii ni umbumbumbu wa kielimu wa staff na wananchi kwa ujumla wao?

Majaji wamesomea sheria lakini wanajigeuza vihiyo wa sheria.

Waendesha mashitaka na Dpp wao wanajifanya hawajui sheria na 'kutohoa' maudhui ya mashtaka ya msingi ya kesi za watu na kupelekea kesi kutupiliwa mbali, hawajasoma hao, pamoja na vurugu zingine katikq taasisi za kutoa haki na huduma nchini mwetu?

Mheshimiwa Shehe angeliweka bayana kilichotufikisha kwenye haya, siyo elimu.

Elimu watu wanayo lakini wakiingia kwenye mfumo uliotufikisha hapa wanajifanya hawajasoma na wameokotezwa majalalani.
Kufanya kinyume na ulichosoma ndio kukosa elimu yenyewe

We uoni hata kikawaida tu mtu kasoma kamaliza vyeti kaweka ndani anaenda kuchoma chip maana yake elimu aliyopata ni mbovu
 
Kinachoniumiza zaidi usalama wa Taifa wapo kana kwamba madudu yanayoendelea ndani ya hili taifa hawayaoni!

Hata ule uchungu wa taifa lao angalau mambo baadhi yanyookè yawe hivi hawana?

Cdf alisema ukweli; kuna viongozi wamepewa nafasi ndani ya hii nchi lakini si raia wa Tanzania.

Hii nchi naamini viongozi wa serikalini hawa wote siyo watanzania. Maanina zao!
Unawasema Usalama wa Taifa ambao wamejihakikishia kinga endapo watatumwa kukuua?

Usalama wa Taifa imegeuzwa jeshi binafsi la sponsor. Hivyo usalama wa Taifa ni Usalama wa Viongozi na siyo Taifa.

Mkuu usitutie ndimu tukaongea hapa
 
Kwani PhD unaenda tu. Hakuna research topic utapropose? hakuna requirement kama idadi ya paper utakazopublish kabla ya kuqualify? Hakuna topics unazotakiwa kufundishwa( modules)?
Hii ndio anasema shehe Ponda

Wewe Unadhani PhD lazima uandike Makaratasi ya Utafiti 😂

Niishie hapo 🐼
 
Back
Top Bottom