Shehe Ponda: Ukitaka kuangamiza Taifa lolote Duniani usitumie Mabomu bali Ua Mfumo Wao wa Elimu, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi!

Sijakuuliza kuhusu PhD za mchongo hizo ninajua zinapatikanaje.
Zile ndio zenyewe Kwa taarifa Yako

Fanya Wewe Mchongo kama ni Rahisi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mchongo ni zile manu Kwa prof
 
Kwahio akichoma chips ndio anasahau quantum theory au ujenzi wa visima ? Au kama ni mwalimu amehitimu kufundisha hakuna kazi aende akajenge shule yake na kusomea marketing ili aweze kuvutia wateja ?

Tumepotoka kama raia kwa kuwapa leeway watunga sera kwa kushindwa kwao kutumia nguvu kazi tuliyoisomesha kwa gharama tunabakia kwenye utopian ideas kwamba kila mtu anaweza akajipa ajira kitaa... (Now that ndio ukosevu wa fikra na logical thinking.., ingawa sio necessarily kukosa elimu huenda ukawa ume specialize kwenye miti shamba na ni gwiji nchini through experience)...
Ponda anaongelea mifumo

Maarifa ni tofauti na professional

Maarifa ni kile ulichonacho baada ya kile ulichosoma darasani!!
 
Shehe Ponda ameweka nukuu inayosema; Ukitaka kuangamiza taifa lolote Duniani usitumie Mabomu wala Nyuklia bali Ua Mfumo Wao wa Elimu Ili wawape nafasi mbumbumbu nao watajiona wamefanikiwa

Ndipo Wagonjwa watafia mikononi mwa Madaktari, Magorofa yataanguka mikononi mwa Wahandisi, Pesa zitapotelea mikononi mwa Wachumi, Utu utapotelea mikononi mwa Viongozi wa Dini na Haki itapotelea Mikononi mwa Mahakimu

Ukiuwa Elimu Umeliangamiza Taifa

Bandiko liko huko X Ukurasani Kwa Shehe

Ukweli Uliotukuka ๐Ÿผ

Dominica njema ๐ŸŒน

Mzee wa uamsho katika ubora wake
 
Hii yupo sahihi.
#The Lost Society.
 
Huwa nashindwa kuelewa upogo mlengo GANI?!
 
Back
Top Bottom