Rais wa Uganda ahudhuria sherehe za Ruto na mobile toilet

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
2,994
6,642
Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu.

Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet hiyo imetengenezwa kwenye gari aina ya Mercedes Benz.

African dictators are ridiculously hilarious.

President Yoweri Museveni of Uganda came with his personal armored toilet for President William Ruto’s inauguration. -by Hopewell Chin'ono

=========

Here Is President Museveni’s Armored Multi-Million Mobile Toilet Parked Outside Kasarani Stadium | Bounce Nation​

ceremony of President Wiliam Samoei Ruto. Ruto moments ago, has been declared officially as Kenya’s 5th President after taking the oath of office.

Among leaders who were present and graced Ruto’s event include President Samia Suluhu of Tanzania, President Kagame of Rwanda, Uganda’s president Yoweri Museveni among other presidents.

Kenyans were left surprised after Ugandan President Yoweri Museveni brought with him his Armored Mobile Toilet.
The toilet is a Mercedes armored Truck. The Truck’s cost is in the region of Tens of millions. The truck was strategically parked at the VIP section just next to the main entrance of the dias.

According to sources, the truck is fully armored and is extremely protected. At Kasarani, the toilet was fully protected with several security personnel’s manning the truck.

Source: Bounce Nation Kenya

1663070626700.png
 
Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu.

Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na Mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet hiyo imetengenezwa kwenye gari aina ya Mercedes Benz.

African dictators are ridiculously hilarious.

President Yoweri Museveni of Uganda came with his personal armored toilet for President William Ruto’s inauguration. -by Hopewell Chin'ono

View attachment 2355543
Solidarity ya Afrika Mashariki
 
"The toilet is a Mercedes armored Truck. The Truck’s cost is in the region of Tens of millions. The truck was strategically parked at the VIP section just next to the main entrance of the dias."
 
Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu.

Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na Mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet hiyo imetengenezwa kwenye gari aina ya Mercedes Benz.

African dictators are ridiculously hilarious.

President Yoweri Museveni of Uganda came with his personal armored toilet for President William Ruto’s inauguration. -by Hopewell Chin'ono

Here is President Museveni’s Armored Multi-Million Mobile Toilet Parked Outside Kasarani Stadium​

View attachment 2355543
Nahisi atakuwa na issue ya diabet ndo maana toilet inamfuata popote
 
Back
Top Bottom