rais wa uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la...
  2. Sol de Mayo

    Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  3. mdukuzi

    Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  4. Chizi Maarifa

    Dr. Idd Amin Dada aliyekuwa Rais wa Uganda. Na marais wetu na Doctorate za Kichawa

    Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana. Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr.. Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha...
  5. Komeo Lachuma

    Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

    Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious. Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye...
  6. J

    Rais wa Uganda ahudhuria sherehe za Ruto na mobile toilet

    Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu. Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet...
  7. T

    Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

    Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
  8. anonymousafrica

    Tarehe 2 Februari mwaka 1971 Idd Amini alijitangaza kuwa Rais wa Uganda

    Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
Back
Top Bottom