Rais Museveni aondoa zuio la kuuza madini baada ya kuomba na Euro. Ataka muwekezaji ayaongeze thamani yakiwa Uganda. Ama sivyo wasubiri akifa

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,544
4,259
Ugandan President Yoweri Museveni revealed that he had lifted a ban on a minerals export ban that had been in place since 2012 following an agreement with his Kenyan counterpart William Ruto.

Museveni made the revelation while he delivered a speech at the World Bank Summit attended by 20 Heads of State in Nairobi that kicked off on Monday, April 29.

The 79-year-old President revealed that Ruto approached him to allow him to import iron ore used to manufacture steel.

Museveni, however, maintained that he lifted the import window for a maximum of three years under the condition that a Kenyan businessman dealing in steel manufacturing will set up a factory in Uganda instead, to provide employment opportunities for Ugandans.

"I banned the export of minerals from Uganda. No mineral will come from Uganda if it is not processed. You can wait until I go away then you can steal the minerals but not now," he told the congregation during his speech which was highly critical of global lenders.

"I banned the export of minerals in 2012 and President William Ruto, I forgave him and gave him a little iron ore for two or three years because I have got a lot. One of the best iron ore in the world."

"I told President William Ruto that one of Kenyan businessmen can come and build the steel factory in Uganda like you have already built in Mombasa," he added.

The Ugandan President explained that he decided to effect the ban after he noticed that unscrupulous businessmen were shortchanging Ugandans by buying cheap minerals and making a killing after processing steel.

He added that some of the businessmen, moreso from India, had offered Ugandan miners $47 (Ksh6,321) per tonne only to reap $700 (Ksh94,150) per tonne.

"An Indian wanted to take the Iron ore in India arguing that it is soil and pay our workers $47 per tonne. Our iron ore is 70 per cent pure and you need at least one and a half tonnes to make pure steel. A tonne of steel costs $700," Museveni added.

"Someone gives you $47 on your wealth and gets $700 from it and all the jobs yet your children have no jobs. I cannot be part of that treachery."

Since effecting the ban, Museveni explained that over seven companies had set up gold refineries in Uganda, therefore, creating jobs for the youth, in similar deals to the one agreed with Ruto.

The Ugandan President further revealed that African countries have been shortchanged in different sectors including coffee whose global value is estimated at over $500 billion.

In Museveni's opinion, African countries only reap $2.5 billion and an almost similar figure for cotton. Museveni further revealed that he only wears clothes made in Uganda.

Source: Museveni Lifts 12-Year Ban for Ruto After Special Request
 
Ni baada ya kuombwa na Ruto
Ruto alikua ameenda kumuombea muhindi mwenye kiwanda cha chuma mombasa awe anachukua malighafi uganda, museven akakataa akasema lazima muhindi ajenge kiwanda uganda na waganda wapate ajira, aprocess kile chuma ili atozwe kodi kulingana na thamani halisi ya soko, tani moja ya chuma kabla ya kuprocess wahindi walikua wananunua dola 47.

Kwa tani na wao kupata tani moja pure ya chuma walihitaji tani moja na nusu ya chuma ghafi, halafu wao sokoni wanaenda kuuza dola 700 Kwa tani , museven akasema haiwezekani, na Kwa sasa kuanzia viwanda vya kuchakata dhahabu na chuma uganda vinamwagika kila leo, amesema lazima alinde rasilimali vinginevo waibe yeye akiwa amekufa.
 
Ruto amlete Bongo huyo muhindi shamba la bibi aje kujichotea malighafi anayoitaka.
Tanzania viongozi ni madalali wa rasilimali za nchi wao ukiona bei tu wanayouza makaa ya mawe utachoka na kulia, ni hawana uchungu kabisa
 
Ruto alikua ameenda kumuombea muhindi mwenye kiwanda cha chuma mombasa awe anachukua malighafi uganda, museven akakataa akasema lazima muhindi ajenge kiwanda uganda na waganda wapate ajira, aprocess kile chuma ili atozwe kodi kulingana na thamani halisi ya soko, tani moja ya chuma kabla ya kuprocess wahindi walikua wananunua dola 47 , Kwa tani na wao kupata tani moja pure ya chuma walihitaji tani moja na nusu ya chuma ghafi, halafu wao sokoni wanaenda kuuza dola 700 Kwa tani , museven akasema haiwezekani, na Kwa sasa kuanzia viwanda vya kuchakata dhahabu na chuma uganda vinamwagika kila leo, amesema lazima alinde rasilimali vinginevo waibe yeye akiwa amekufa

Kama ni rahisi hivo kutengeneza hela kwanini huyo museveni asitengneze mwenye kiwanda akapata kupiga hela,
Watu weusi tuache nagative mind
 
Ameondoa Hilo zuio baada ya Kuombwa na Raisi wa Kenya Ruto
 
Kama ni rahisi hivo kutengeneza hela kwanini huyo museveni asitengneze mwenye kiwanda akapata kupiga hela,
Watu weusi tuache nagative mind
Kenya hulazimisha wafanyabiashara wakaweke viwanda huko, rostam Aziz na taifa gas mfano mmoja, museven kafanya la maana
 
Back
Top Bottom