Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,409
- 113,396
Watu wameshafanya matumizi kwenye NEST kitambo, why asifute tangu mwanzo?Sawa zikatekeleze hizo huduma za kijamii sasa

Ili fedha zielekezwe kwenye kampeni za CCM 2025.Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila mkoa uhakikishe wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii, ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira kwenye maeneo ya kijamii kama masoko, hospitali, kumbi za wazee na wenye mahitaji maalumu.
Hayo yameelezwa leo Jumatano, Desemba 4, 2024 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kazi cha mawaziri kilichofanyika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma. "Sherehe za mwaka huu hazitakuwa na gwaride na shughuli nyingine za kitaifa".
Amesema Serikali inatoa wito kwa wananchi kushiriki katika shughuli hizo, ili kujivunia sifa za kipekee ambazo zimetokana na Uhuru wetu.
"Ninatoa rai kwa wakuu wote wa mikoa ya Tanzania Bara, kuzingatia na kufuata ipasavyo maelekezo mahsusi yaliyotolewa na Serikali ili kuhakikisha maadhimisho haya yanafanyika kwa ufanisi kwa lengo la kuuenzi Uhuru wetu."
View attachment 3168740
Nasikia hazina hamna hela kabisaWatu wameshafanya matumizi kwenye NEST kitambo, why asifute tangu mwanzo?
Huku ni kudanganyana. Yaani hizo fedha leo tarehe 04/12, bado tu hazijaanza kutumika, kwa ajili ya tukio la tarehe 9/12?Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila mkoa uhakikishe wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii, ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira kwenye maeneo ya kijamii kama masoko, hospitali, kumbi za wazee na wenye mahitaji maalumu.
Walicho mfanyia huyu mama s.mtaa wamepiga patakatifuRais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila mkoa uhakikishe wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii, ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira kwenye maeneo ya kijamii kama masoko, hospitali, kumbi za wazee na wenye mahitaji maalumu.
Hayo yameelezwa leo Jumatano, Desemba 4, 2024 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kazi cha mawaziri kilichofanyika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma. "Sherehe za mwaka huu hazitakuwa na gwaride na shughuli nyingine za kitaifa".
Amesema Serikali inatoa wito kwa wananchi kushiriki katika shughuli hizo, ili kujivunia sifa za kipekee ambazo zimetokana na Uhuru wetu.
"Ninatoa rai kwa wakuu wote wa mikoa ya Tanzania Bara, kuzingatia na kufuata ipasavyo maelekezo mahsusi yaliyotolewa na Serikali ili kuhakikisha maadhimisho haya yanafanyika kwa ufanisi kwa lengo la kuuenzi Uhuru wetu."
View attachment 3168740
Punguza nongwa mkuu, mama wa kizenji ndio rais wetu wa sasa...Mzanzibari anafutaje maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika?
..Mbona hafuti maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar?
Tumeshuhudia maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika zikifutwa na marais Magufuli na Samia Suluhu Hassan wakiwa kama marais wa JMT. Je! Ni lini ambapo maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar yamewahi kutokufanyika kwa sababu kama hi zzz i zinazo tolewa!?Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila mkoa uhakikishe wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii, ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira kwenye maeneo ya kijamii kama masoko, hospitali, kumbi za wazee na wenye mahitaji maalumu.
Hayo yameelezwa leo Jumatano, Desemba 4, 2024 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kazi cha mawaziri kilichofanyika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma. "Sherehe za mwaka huu hazitakuwa na gwaride na shughuli nyingine za kitaifa".
Amesema Serikali inatoa wito kwa wananchi kushiriki katika shughuli hizo, ili kujivunia sifa za kipekee ambazo zimetokana na Uhuru wetu.
"Ninatoa rai kwa wakuu wote wa mikoa ya Tanzania Bara, kuzingatia na kufuata ipasavyo maelekezo mahsusi yaliyotolewa na Serikali ili kuhakikisha maadhimisho haya yanafanyika kwa ufanisi kwa lengo la kuuenzi Uhuru wetu."
View attachment 3168740
Bajeti ya sherehe iliyofutwa ni shilingi ngapi?
Tusaidieni wazee wa Hansard.
Hamia Burundi. PumbavUwamuzi sahihi wa wapi? Unabadilisha matumizi ya pesa baada ya budget allocation tena iliyoidhinishwa na bunge? Hiyo ni auditing query kama hujui sasa.
Kwamba tangu bunge linakaa na kupitisha hiyo bajeti yeye alikuwa hajui hayo? Kwamba yeye yupo juu ya mhimili wa bunge?
Amka acha uzuzi " hiyo siyo good governance ni samia principles ambazo hushangiliwa na CHAWA
Aondoe na ile ya mapinduzi Zanzibar
Subiri majibwa ya Chura kiziwi yaione post yako yatakavyobweka..Hivi ile kizimkaz festivo bajet yake mliipata!
Futa na hizo samia marathon sjui samia blah blah zote hizo ni njiaa za kupiga tu
Ova
Punguza nongwa mkuu, mama wa kizenji ndio rais wetu wa sasa.