Kamanda kitaa kugumu haswa, acha waipate vizuri.Watakoma vyeo wanavipenda lakini pia na ubabe wa jamaa wauvumilie tu hakuna namna.
mgambo wanaruka na kukanyaganya
Ulitaka afanye utabiri kwamba watendaji wake watakwenda kufukuza machinga?Huu unafiki. Mji sasa umeshakuwa mweupe. Machinga wamepoteza mali zao. Wengine wamekatika mitaji. Et leo anaibuka from no where et zoezi lisitishwe wakati limesha isha.
Wataendelea kumsifia mtukufu hata wakitukanwa wanamuogopa huyo kama Mungu vile.Kiukweli ningekuwa mimi ndio mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya, ningejiuzulu!
Umewaza kwa akili kubwa mkuu ambao wengi hawanaNadhani hili halihitaji kupongezwa, bali linaleta giza zaidi. Kumbuka DC wa Mwanza hakukurupuka kutangaza ile operesheni, umekuwepo mchakato ambao umehusisha mawasiliano katika ofisi mbalimbali za mkoa, ikiwemo pia kuandaliwa kwa bajeti ambayo ingetumika kukamilisha zoezi zima la kuwaondoa wamachinga.
Swali kuu la kujiuliza, ni kwanini mkuu anaacha mchakato wote huo unafanyika kisha naye anaibuka kivyake? Huwezi kunusu hapa kama kuna namna fulani ya mtu kutaka yeye ni "tofauti" na wengine, lakini kwa gharama ya rasilimali zetu?
DC hajajiuzuru?
Huwa nashangaa kwa nini hizi halmashauri zinashindwa kufanya planning!! Hawa wamachinga ni nguvu kazi!! Wanatakiwa wawekewe mazingira rafiki nje ya barabara za waenda kwa miguu na pia waanze kutoa tozo mbalimbali! Mfanyabiashara mkubwa hataweza kulipa kodi ipasavyo kama kila mahali patakuwa ni biashara!! Otherwise mapato ya hawa wafanyabiashara wakubwa yatapungua na serekali itapoteza mapato!! Tuwaandalie hawa vijana maeneo ila mitaa iachwe wazi!! Mbona kwa wenzetu inawezekana? Mfano tu kwa Dar es Salaam eneo ambalo lilikuwa linaonekana linafaa kwa kazi hiyo kidongo Chekundu limefanywa eneo la wachache la Luxury!! Hawa wachache walitakiwa waandaliwe maeneo mbali na hapa mjini ndio sector isiyo rasmi wajibanane!! Ila pia na NHC wahusishwe watoe baadhi ya maeneo na baadhi ya mitaa!! Kwingine wawaachia walipaji wa kodi na watembeaji wa mjini kwa ustaarabu! Bila kuwa na maeneo rafiki kwa biashara zenye leseni wafanyabiashara wengi watatumia mwanya huo kukwepa kila tozo. Na hili lifanyike haraka kwa kasi ya mheshimiwa rais alivyoagiza!!Safi sana kwa Mara nyingine nikupongeze Rais kwa hatua hii....
Uwachunguze pia watendaji wako jijini Mwanza maana wanapewa Rushwa na Wahindi na baadhi ya makaburu wafanyabishara watanzania ili bidhaa zinazopatika kirahisi kwa wamachinga wao waziuze kwa bei kubwa.........
Hili halijaanza leo limeanza toka Masha akiwa mbunge hapo.......
Rushwa ,Rushwa ,Rushwa ni adui wa haki kweli kweli.......
Pole sana aisee hawa wanacheza na maisha ya Watanzania jinsi nilivoona watu wamevunjiwa kabisa vtu vyao Leo eti warudishwe huko ni kutafta kiki kwenye biashara za watu wanazozitegemea.Yaani nimeudhika balaa kwasababu hata mimi ni mhanga wa hilo zoezi, ngoja nimshinde shetani tu kwakweli otherwise.....
Mnafki mpka kwnye ukucha wkoMzee kawabadilishia gia tena, Machinga wenyewe mabanda yao yamebomolewa, wataamrishwa wayajenge tena kwa gharama zao?
Kufanya kazi na ma boss wengine unafanya tu kwa kuwa huna jinsi nyingine, unalazimishwa kumeza amri zako mbele umma
Mkuu umenena niliona vilio vya wale mama mwanza roho iliniuma sana, angalia hawa viongozi wako wasikuletee fitina na wafanyabiashara wadogo wadogo. Watume waende Kenya wakaona serikali inavyojali wafanyabiashara biashara wadogo wadogo.