Huyu Binti wa Mwanza Tesha anajisikiaje leo! Aibu kwakeMachinga wenyewe mabanda yao yamebomolewa, wataamrishwa wayajenge tena kwa gharama zao?
Huyu Binti wa Mwanza Tesha anajisikiaje leo! Aibu kwakeMachinga wenyewe mabanda yao yamebomolewa, wataamrishwa wayajenge tena kwa gharama zao?
Hamkosi kauli ninyiMachinga wenyewe mabanda yao yamebomolewa, wataamrishwa wayajenge tena kwa gharama zao?
Huu unafiki. Mji sasa umeshakuwa mweupe. Machinga wamepoteza mali zao. Wengine wamekatika mitaji. Et leo anaibuka from no where et zoezi lisitishwe wakati limesha isha.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana? Leo star Tv walikuwa na mjadala, nadhani Rais ameusikilizaWakati mwingine huwa siwaelewi watumishi wa hizi halmashauri. Inakuaje unahamisha wafanyabiashara wadogo wadogo wakati miundombinu mipya bado haijajengwa?
Test kusoma upepo ikafanyike A-town pia!He he he, kausoma upepo kagundua inakula kwake. Hawa wakuu wa mikoa , wilaya, na wakurugenzi wa Mwendo kasi ni majanga makubwa. Wao wanadhani kupambana na wananchi wanyonge na masikini ndio jambo litakalo wadhibitishia kudumu kwa ajira zao. Wamejenga akilini kuwa Magu ni mtu mkatili kwa raia hivyo nao wakifanya ukatili wanamsuuza roho yake ipasavyo.
kwa hiyo wamachinga ni uchafu?Huu ni mtegao wa hatari sana,yaan uwalinde mji uchafuke na upate kura,au uwafukuze mji uwe msafi na ukose kura.
Nikama mtu anakwambia "ukinipiga unanionea,ukiniacha unaniogopa" amua mwenyewe.