Rais Magufuli aagiza kusitishwa zoezi la kuwaondoa Machinga Mwanza na wachimbaji wadogo migodini

-->>Wanajaribu kununua wana-arusha kwa tukutuku,
huku wakiendelea kuibomoa ngome yao mwanza.
*bomoa e, bomoe e, bomoa mama tutajenga kesho bomoeee....!.
-akilimbofumbofu....
 
Angekuja akaona mji ulivyokuwa msafi... vichochoro vyote vimefunguliwa
Sijui mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanajisikaje baada ya hili tamko
Njaa mbaya, ingelikuwa siyo njaa wangelijuzulu. Sasa ram, tumbo njaa mwanamalegeza, ajiuzulu ale m.v.
 
serikali ya mazuzu ,mnakera sana hakupaswa kutawala tena ccm mmelazimisha watanzania ndomana mnatumia nguvu nyingi sana tushikie lipi sasa
 
Safi sana kwa Mara nyingine nikupongeze Rais kwa hatua hii....

Uwachunguze pia watendaji wako jijini Mwanza maana wanapewa Rushwa na Wahindi na baadhi ya makaburu wafanyabishara watanzania ili bidhaa zinazopatika kirahisi kwa wamachinga wao waziuze kwa bei kubwa.........

Hili halijaanza leo limeanza toka Masha akiwa mbunge hapo.......

Rushwa ,Rushwa ,Rushwa ni adui wa haki kweli kweli.......
Nadhani hili halihitaji kupongezwa, bali linaleta giza zaidi. Kumbuka DC wa Mwanza hakukurupuka kutangaza ile operesheni, umekuwepo mchakato ambao umehusisha mawasiliano katika ofisi mbalimbali za mkoa, ikiwemo pia kuandaliwa kwa bajeti ambayo ingetumika kukamilisha zoezi zima la kuwaondoa wamachinga.
Swali kuu la kujiuliza, ni kwanini mkuu anaacha mchakato wote huo unafanyika kisha naye anaibuka kivyake? Huwezi kunusu hapa kama kuna namna fulani ya mtu kutaka yeye ni "tofauti" na wengine, lakini kwa gharama ya rasilimali zetu?
 
Watu mitaji imeshakata ndo unaibuka au nibaina nyingine ya kuwaondoa kiana maana apo watakao weza rudi na wakasimama kimitaji ni 60% or less
 
Yaani wamefukuzwa wote na vibanda kuondolewa maeneo yao leo siku ya 4 anakuja kutoa tamko leo?!! Siku wanafanyiwa unyama ule usiku wa manane na asubuhi ukaendelea na vyombo vya habari vikaonesha alikuwa amezimia siku zote hizo kana kwamba leo ndio kazinduka?!! Aache kutafutia sifa za kisiasa kwenye maisha ya Watanzania
 
Back
Top Bottom