JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,195
Asiyeweza kuishi na wamachinga mjini ahamie kijijini.Huu unafiki. Mji sasa umeshakuwa mweupe. Machinga wamepoteza mali zao. Wengine wamekatika mitaji. Et leo anaibuka from no where et zoezi lisitishwe wakati limesha isha.
Hapo kuna swala la kiki kwanini sasa hakusitisha zoezi mwanzo kabisa na watu wameshapata hasara.
But it's a bit late...usitishwaji huo uende sambamba na uwajibishwaji kuna hasara kubwa na usumbufu watu wamepataNaona Rais wetu sasa karudi kua mtanzania !!
Hongera JPM maana wengine tushaanza kuhisi umeisahau watanzania.
Njaa mbaya, ingelikuwa siyo njaa wangelijuzulu. Sasa ram, tumbo njaa mwanamalegeza, ajiuzulu ale m.v.Angekuja akaona mji ulivyokuwa msafi... vichochoro vyote vimefunguliwa
Sijui mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanajisikaje baada ya hili tamko
Wawalipe na fidia kama wanamaanisha!Machinga wenyewe mabanda yao yamebomolewa, wataamrishwa wayajenge tena kwa gharama zao?
Nadhani hili halihitaji kupongezwa, bali linaleta giza zaidi. Kumbuka DC wa Mwanza hakukurupuka kutangaza ile operesheni, umekuwepo mchakato ambao umehusisha mawasiliano katika ofisi mbalimbali za mkoa, ikiwemo pia kuandaliwa kwa bajeti ambayo ingetumika kukamilisha zoezi zima la kuwaondoa wamachinga.Safi sana kwa Mara nyingine nikupongeze Rais kwa hatua hii....
Uwachunguze pia watendaji wako jijini Mwanza maana wanapewa Rushwa na Wahindi na baadhi ya makaburu wafanyabishara watanzania ili bidhaa zinazopatika kirahisi kwa wamachinga wao waziuze kwa bei kubwa.........
Hili halijaanza leo limeanza toka Masha akiwa mbunge hapo.......
Rushwa ,Rushwa ,Rushwa ni adui wa haki kweli kweli.......
Njaa mbaya, ingelikuwa siyo njaa wangelijuzulu. Sasa ram, tumbo njaa mwanamalegeza, ajiuzulu ale m.v.
Watakoma vyeo wanavipenda lakini pia na ubabe wa jamaa wauvumilie tu hakuna namna.Inaonekana viongozi wetu huwa hawafanyi mawasiliano yoyote kabla ya kutekeleza jambo lolote.