Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,365

Hapa umemaanisha nini?

Sasa unataka ili nini wewe mshahara wako mbona mkeo haujui hebu tokeni hapa ....................badala ya kuzungumzia jinsi gani utajiendeleza uinue kipato unataka uujue ili ? hivi CDM kwanini katibu mkuu mwingine hata pewa mshahara na marupurupu mengine kama slaaaaaa?????
kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?Heshima kwenu wakuu, gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 17 ukurasa wa 19 lina makala isemayo "Raila Odinga amzidi David Cameron kwa mshahara.
Ukisoma hiyo makala utaweza ona jinsi Nchi nyingine zinavyokuwj wazi hasa mapato ya viongozi wao kulinganisha na hapa kwetu ambapo mshahara na vyanzo vya mapato vya viongozi wetu vimekuwa ni siri.
Swali: Kenya wameweza kuweka wazi mishahara ya viongozi wao, sisi nini kinatushinda?
Naomba Chadema kama watachukua Nchi mwaka 2015 waweke wazi mishahara ya mawaziri,wabunge na wa raisi pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya raisi.
Hii hapa ni orodha ya viongozi wanaolipwa mishahara mikubwa hapa duniani:
1. Lee Hsien Loong, waziri mkuu wa singapore dola 2,856,930 kwa mwaka.
2. Donald Tsang dola 513,245 kwa mwaka,mtawala mkuu wa Hong Kong.
3. Raila Oding dola 427,886. Kwa mwaka
4. Barack Obama dola 400,000 kwa mwaka.
5. Nicolas Sarkozy dola 345,423.
Mshahara wa Jk ukiwekwa hapo si ajabu atashika nafasi ya pili au tatu na kwa katiba yetu kuwa raisi ndo mwajiri mkuu sitoshangaa hata kama akishika nafasi ya kwanza.
kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?
I doubt ni hii asking yenu. Nitahoji baada ya JK kutoka madarakani.
Mshahara unaweza usitishe lakini marupurupu weeeeeeeee na anavyopenda kusafiri unaweza kuziia ukiona hiyo figure kwa mwaka...Heshima kwenu wakuu, gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 17 ukurasa wa 19 lina makala isemayo "Raila Odinga amzidi David Cameron kwa mshahara.
Ukisoma hiyo makala utaweza ona jinsi Nchi nyingine zinavyokuwj wazi hasa mapato ya viongozi wao kulinganisha na hapa kwetu ambapo mshahara na vyanzo vya mapato vya viongozi wetu vimekuwa ni siri.
Swali: Kenya wameweza kuweka wazi mishahara ya viongozi wao, sisi nini kinatushinda?
Naomba Chadema kama watachukua Nchi mwaka 2015 waweke wazi mishahara ya mawaziri,wabunge na wa raisi pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya raisi.
Hii hapa ni orodha ya viongozi wanaolipwa mishahara mikubwa hapa duniani:
1. Lee Hsien Loong, waziri mkuu wa singapore dola 2,856,930 kwa mwaka.
2. Donald Tsang dola 513,245 kwa mwaka,mtawala mkuu wa Hong Kong.
3. Raila Oding dola 427,886. Kwa mwaka
4. Barack Obama dola 400,000 kwa mwaka.
5. Nicolas Sarkozy dola 345,423.
Mshahara wa Jk ukiwekwa hapo si ajabu atashika nafasi ya pili au tatu na kwa katiba yetu kuwa raisi ndo mwajiri mkuu sitoshangaa hata kama akishika nafasi ya kwanza.
Nasikia kuanzia enzi za Mkapa mshahara na marupurupu ya rais vimefanywa kuwa siri ya serikali. Sina hakika lakini nimelisikia hilo, kwa sababu kwa serikali yeyote ya kidemocrasia mshahara wa rais si siri. Wakenya wanajua Mwai Kibaki analipwa kiasi gani.
state house tunaomba majibu, anavuna ngapi huyu
Mshahara wa Julius ulikuwa unajulikana wewe wa lini? na hata mwinyi alipoingia tu aliuona ni mdogo mno akajiongezea asilimia kiduchu ikatangazwa Radio Tanzania sijui baadae ndio ukimya ulipoanzia kwa Mkapa mmh! sikumbuki nilikuwa busy na masomo.kwanini msiseme mshahara wa rais tu. Kuna haja gani mpaka msipecify? au ndo maana hamkuuliza wa ben, ali na julias?
I doubt ni hii asking yenu. Nitahoji baada ya JK kutoka madarakani.