Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 942
- 4,433
Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko ya jamii
Leo pamoja na kushiba dhuluma anasimama bungeni kwamba wananchi wakatwe kodi kwenye line za simu ikiwa ni mwendelezo wa matajiri kudidimiza wananchi.
Ninachofahamu mimi huyu mtu analipwa mshahara wa ubunge na hakuna kodi anakatwa. Huyu mdogo wetu analipwa posho kadhaa bila kodi na anamikopo mingi ambayo anapewa kwa riba nafuu.
Mwisho na hii niombe kuileta kwenu; mwaka 2018 wamiliki wa mabasi walikwenda kukopa mabasi China kwa mkataba uliowekwa dhamana na serikali. Baada ya kukopa magari hawakulipa hadi wachina wakasitisha mikopo hiyo.
Watu hawa siyo wakuvumiliwa , wanapaswa kuambiwa ukweli.