Mji msafi alafu watu wana njaa?Hoja zako ni za kijinga, miji lazima iwe na utaratibu maalum wa sehemu za kufanyia bishara, pia hilo la umeme ni kwamba bara tunabebeshwa mizigo ya bili za umeme za wala urojo. Ila hija yako ya hiyo kuwa Rais naounga mkono kwa sababu tofauti na hizo ulizotaja.
Halafu Ujinga wa hizi mada ni kwamba kila siku wanaofaa kuwa viongozi ni hao hao utadhani hakuna watanzania wengine!!Qualification ya uraisi wa JMT ume ishusha kwa kiasi hicho, kweli?
Mara nyingi anayefaa hapendekezwi na mtu, husukumwa na dhamira binafsi iliyojengwa kwenye karama ya uongozi. Kwa maana hiyo sina uhalali wa kupendekeza jina hapa, wakati ukifika watajitokeza tu. Kazi yetu ni kuwapima kwa historia na matendo yao.Ni yupi unayempendekeza?
Sijasema mwinyi anafaa ila ni upuuzi sana kukosoa pendekezo la mtu anayefaa ukiwa huna pendekezo bora.
Ikiwa wakati wa baba yake Loliondo ilizwa kwa waarabu kwa mkataba wa kijinga kabisa, Mzee alijimilikisha mali za umma, Ikulu ikageuzwa pango la walanguzi na wala rushwa na wakaigeuza sebule, n.k...kwa mwanae ndiyo itakuwa balaa kubwa!1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.
My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?
2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?
3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Basi tusubiri.Mara nyingi anayefaa hapendekezwi na mtu, husukumwa na dhamira binafsi iliyojengwa kwenye karama ya uongozi. Kwa maana hiyo sina uhalali wa kupendekeza kina hapa, wakati ukifika watajitokeza tu. Kazi yetu ni kuwapima kwa historia na matendo yao.
Kama Mwinyi anafaa kuwa raisi basi Kingai, Jumanne na Mahita wao pia wanafaa sana, Nadhani umenielewa!!!!1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.
My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?
2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?
3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Tayari anapaisha uchumi wa Zanzibar kwa kasiIkiwa wakati wa baba yake Loliondo ilizwa kwa waarabu kwa mkataba wa kijinga kabisa, Mzee alijimilikisha mali za umma, Ikulu ikageuzwa pango la walanguzi na wala rushwa na wakaigeuza sebule, n.k...kwa mwanae ndiyo itakuwa balaa kubwa!
Hana kabisa sifa za kuwa kiuongozi, kabebwa tu kama anavyotaka kubebwa Rizmoja!!
Zanzibar ina wakazi wasiopinduka milioni 1 unataka ashindwe kutoa vitambulisho vya wafanyabiashara(machinga)?!!!1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.
My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?
2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?
3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
😍Watanzania watu wa ajabu sana, unataka uungiwe umeme kwa elfu 27..gari ya Tanesco iwekwe mafuta, wafanyakazi walipwe na wewe utoe elfu 27..
Hivi ile remote feeder ya units yenyewe tu pesa ngapi?
Na hapo hutaki kusikia deni la taifa linaongezeka..
Machinga anachukua bidhaa anaenda kuuzia mbele ya fremu ya mtu, halipii fremu, halipi VAT, halipi leseni, halipi usafi, halipi Zimamoto, hana bili ya umeme wala maji..na wewe unaona sawa tu hiyo hali iendelee..
Ifike mahali tuwe serious tunataka nini..
Zanzibar wameshusha umeme mpaka laki mbili kwa wale wasio na nguzo na bado unafanya comparison na elfu 27??
Hivi Zanzibar ina watu wangapi?? Kimsingi yote ilipaswa kuwa na umeme toka enzi za Sultan
Elitwege kaguswa....hajaamka TOKA AWAMU YA 5.....Nyie midomo payu hapa tz aje rais wa aina yoyote kelele ni zile zile, kuanzia nyerere walitaka kumpindua, mwinyi mkapiga kelele hafai mlaini sana, mkapa fisadi kelele lungo, kikwete ndio hadi watoto wadogo wakawa wanamtukana, magufuli ndio balaa sasa ni samia atatoka atakuja mwingine mwendo ni huo huo. Ila kelele zote hizo ni kwamba mnakuwa mmeguswa maslahi yenu na wala si maslahi ya taifa. Poleni sana
Wakati unamlilia huyo Rais wa nchi jirani kuja kukutawala, umetoa na mawazo mbadala ya wapi kwa kumpeleka huyu Rais wako mbibi anaye kutawala sasa? Maana amesha jihakikishia mtakuwa wote tena ifikapo 2025 - 2030!Tayari anapaisha uchumi wa Zanzibar kwa kasi
Huo ushahidi wa kupindua uchaguzi kama unao kwa nini usiupeleke mahakamani?Wananchi walio wengi hawaridhiki na mnayoyafanya CCM,maana ushindi wa serikali zenu wote ni batili haupo kisheria upo kimapinduzi mmepindua uchaguzi mtasema na kupanga mengi lakini hakuna hata moja litakalowaletea faida.
Tume huru ya uchaguzi ndio suluhisho la maendeleo ,halafu wacheni kutisha watu eti Tumuogope Mwenyezi Mungu,wewe unaesema hayo humuogopi ? Mnatenda mema kwa msimu ,wakati wa Uchaguzi Mkuu Mungu wenu anaenda likizo mnaiba kura,mnauwa wapiga kura mnavuruga uchaguzi kwenye vituo,mnakimbia na Masanduku ya kura.
Malipo ni hapa hapa duniani ahera kunaenda hesabu tu.
Unaenda kumshitaki wapi wakati nchi ina muhimili mmoja tu. Mingine kivuli cha huo huo mmoja.Huo ushahidi wa kupindua uchaguzi kama unao kwa nini usiupeleke mahakamani?