Moderators nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huu ni uzi ni Maono yangu na matamanio yangu.

Binafsi napendezwa sana na kazi anayofanya ndugu Dk Hussein Ali Mwinyi kule visiwani Zanzibar ikiwepo kutoa mishahara na kuongeza mishahara kwa watumishi, bei za mafuta kua chini na kufuta tozo mbalimbali.

Hivyo ningefurahi kuona ndoto hii ya Abunuwasi ingekua kweli Mama Samia aende kule Zanzibar na Dk Hussein Ali Mwinyi aje Bara.

DSC_2971-scaled.jpg
 
Moderators nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huu ni uzi ni Maono yangu na matamanio yangu. Binafsi napendezwa sana na kazi ...
Rais anatakiwa awe mtu mwenye maono ya karibu na mbali. Mama ana uwezo mkubwa sana wa kuunganisha makundi mbali mbali. Kuongoza watu millioni sitini (60), makabila zaidi ya 120, na dini kubwa zaidi ya 5 si kitu kidogo. Mama anatosha sana.
 
Mama keshanogewa na utamu na ukubwa wa madaraka ya bara, hata kwa fimbo humpeleki visiwani huko.
 
Moderators nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huu ni uzi ni Maono yangu na matamanio yangu.

Binafsi napendezwa sana na kazi anayofanya ndugu Dk Hussein Ali Mwinyi kule visiwani Zanzibar ikiwepo kutoa mishahara na kuongeza mishahara kwa watumishi, bei za mafuta kua chini na kufuta tozo mbalimbali.

Hivyo ningefurahi kuona ndoto hii ya Abunuwasi ingekua kweli Mama Samia aende kule Zanzibar na Dk Hussein Ali Mwinyi aje Bara.

View attachment 2608148
Ubarikiwe sana
 
Mama hawez kubali lazima amalize miaka yake 10 na Mwinyi naye atakuwa anamaliza 10 kule Zanzibar hataweza tawala miaka 20
 
Road to 2025. Leo tumefungua pazia rasmi. Yale yote mazuri ya Rais mpendwa yatawekwa hapa.
 
Kama mmeamua kuunganisha uzi wangu sawa. Ila sijapenda. Na kama mmeanza figisu ntauhama mtandao wenu mda si mrefu
 
Back
Top Bottom