Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
R
Rubbish and nonsensical argument!Kwa sababu wewe unaishi kama mchwawi na majirani zako usidhani wote wameishi hayo.
Sidhani kama safari ya mwisho ya marehemu wenyeji walitaka iwe ya kisiasa, hilo lisingeweza epukika kutokana na maisha yake.
Lakini aina maana uzuie ratiba nzima ya heshima wenyeji waliodhani inamfaa kutokana na mchango wake kwao.
Ni upuuzi kila kitu kufanya ni mambo ya siasa tu: Mazishi ni human aspect na kwa mila zetu utazikwa kama ulivyoishi na watu.