Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

Sion maana ya kupitisha mwil wa marehemu barabaran kwanza ni kumchosha na dunian hakunaga utaribu huo na hadhi ya maiti pia haiwi kama inezingatiwa kikubwa tuachanen na siasa katika misiba ya watu ni vyema kujitikita katika misingi ya hoja
Misiba haiji kila siku ila kama tutageuza ni mtaji basi tutaomba iwe kila leo
 
Manyinyiemu na mapoliccm mmekataa asizungushwe
Safi sana! Marehemu hawezi kudhalilishwa namna hiyo! Muwe na akili japo kidogo. Mwingine anazungumzia kuingia Ikulu 2020 kwenye msiba! Mambo ya ajabu sana!!
 
Ulitembezwa mwili wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere unashangaa wa Ndesamburo? Kwani Kanumba ulisahau alichofanyiwa? Hivi kwa nini akili zetu kama taifa tunazitia mfukoni kwa mambo madogo madogo kama haya?
Usimfananishe nyerere na vitu vya kijinga
 
police wapo sahihi kabisa kama Mzee ndesamburo alikuwa kipenzi cha watu ,kwanini hao watu wasiende kumuaga mwili katika eneo husika
Uwanja utafurika watu na utashindwa kuwahimili na matokeo yake yanajulikana wazi nini kitafanyika "UNAFIKI HAUTAISHA TANZANIA AKALI CCM I MADARAKANI" RIP MZEE NDESA PESA.

Yanayoendelea sitofautishi Hadithi ya Mwanakondoo na Mbwa mwitu!!
Wenye makosa na walinda wezi wanalindwa ati "haikuingia kwenye hansard" huku wapinga wezi wakihukumiwa "wametovuka nidhamu"
 
Hakuzungushwa Mitaani Mwalimu
Kwahiyo na babu wa taifa alidhalilishwa? Akili yako sijui inakaa wapi, ?
Usiwe lofa.Mwalimu hakuzungushwa Mitaani. Watu walijipanga kutoka Uwanja wa Ndege hadi Msasani. Jeneza la mwili wake liliagwa pale Taifa. Au ulikuwa hujazaliwa wewe binti wakati ile?
 
Hakuzungushwa Mitaani Mwalimu

Usiwe lofa.Mwalimu hakuzungushwa Mitaani. Watu walijipanga kutoka Uwanja wa Ndege hadi Msasani. Jeneza la mwili wake liliagwa pale Taifa. Au ulikuwa hujazaliwa wewe binti wakati ile?
Nilikuwa bado sijazaliwa, hapo j.delicious utakuwa umefurahi
 
Siasa kila sehemu marehemu alikuwa local hero and highly respected kutokana na alivyojiweka na watu.

Kuwanyima watu nafasi za kutoa heshima waliodhani ni sahihi ya kumsindikiza shujaa wao kwa sababu ya kisiasa tu ni kuwakosea sana wakazi wa Kilimanjaro.
 
Msiwe manyumbu! Kwani si sehemu iliandaliwa ya watu kutoa heshima? kuna haja gani ya kumtembeza mitaani kama MASTER SERGEANT SAMUEL DOE kule Monrovia, Liberia? Jamani msidhalilishe maiti namna hiyo!!
 
Msiwe manyumbu! Kwani si sehemu iliandaliwa ya watu kutoa heshima? kuna haja gani ya kumtembeza mitaani kama MASTER SERGEANT SAMUEL DOE kule Monrovia, Liberia? Jamani msidhalilishe maiti namna hiyo!!
Kwa sababu wewe unaishi kama mchwawi na majirani zako usidhani wote wameishi hayo.

Sidhani kama safari ya mwisho ya marehemu wenyeji walitaka iwe ya kisiasa, hilo lisingeweza epukika kutokana na maisha yake.

Lakini aina maana uzuie ratiba nzima ya heshima wenyeji waliodhani inamfaa kutokana na mchango wake kwao.

Ni upuuzi kila kitu kufanya ni mambo ya siasa tu: Mazishi ni human aspect na kwa mila zetu utazikwa kama ulivyoishi na watu.
 
Back
Top Bottom