Hii ya sasa ni laptop mkuuHiyo hela inaweza kutosha but kama utachukua baadhi ya parts kutoka kwenye hiyo pc unayotumia kwa sasa, kama ram, hdd, cpu etc.
Yangu cost ilifika million 1.1
Uwezo wake
Ram 16
Processor ryze 5 3400g
Gpu rx580 8gb
Ssd 256gb
Hdd total tb 1.32
Ohoo hapo kipengele.Hii ya sasa ni laptop mkuu
Njia rahisi ambayo hata hapa Tanzania unaunda bila tatizo ni kununua workstation, hizi psu zake zinakubali Gpu za pin 6 kama gtx 1060, Rx 6600, mpaka rtx 4060.Nikiweka 30 ubora wa game unapungua kabisa…
Nina bajeti ya 800k njia gani nzuri ya kuunda PC itakayocheza FC24 smooth?
Sema xeon ndio zimejaa upande wa workstationsNjia rahisi ambayo hata hapa Tanzania unaunda bila tatizo ni kununua workstation, hizi psu zake zinakubali Gpu za pin 6 kama gtx 1060, Rx 6600, mpaka rtx 4060.
Minimum gen ya 8 ukipata i7 ideal ila hata i5 sio mbaya. Brand za workstation kwa dell zinaitwa precision, HP zinaanza na Z kama Z2 G4, Lenovo thinkstation etc. Cha muhimu kwa muuzaji we kagua psu kama ina watts za kutosha 400W kupanda ukiridhika psu ya maana ndio unacheki cpu, ram na vingine.
Hizi hazipo nyingi sana ni za ku hustle kuzipata. Then unatafuta gpu mtumba online, gtx 1060 6GB ina balance nzuri ya perfomance na ulaji umeme.
Asante mkuu, ngoja nizisakeNjia rahisi ambayo hata hapa Tanzania unaunda bila tatizo ni kununua workstation, hizi psu zake zinakubali Gpu za pin 6 kama gtx 1060, Rx 6600, mpaka rtx 4060.
Minimum gen ya 8 ukipata i7 ideal ila hata i5 sio mbaya. Brand za workstation kwa dell zinaitwa precision, HP zinaanza na Z kama Z2 G4, Lenovo thinkstation etc. Cha muhimu kwa muuzaji we kagua psu kama ina watts za kutosha 400W kupanda ukiridhika psu ya maana ndio unacheki cpu, ram na vingine.
Hizi hazipo nyingi sana ni za ku hustle kuzipata. Then unatafuta gpu mtumba online, gtx 1060 6GB ina balance nzuri ya perfomance na ulaji umeme.
Sio mbaya sema Xeon zinatumia hadi watts 400, hasa ukipair na power hungry Gpu kama rx 580, unashangaa Desktop linalamba watts 5-10 kwa siku,Sema xeon ndio zimejaa upande wa workstations
Na bei ndio zinaingia humo nyingi laki 5+
Sema hata xeon zinasukuma game kimtindo.
Kukusaidia mkuu Mitaa mzuri ya Desktop ni kuanzia likoma pale, likoma na Agrey na Likoma na masasi, kama unaelekea China Plaza. Kuna jamaa fulani anajiita Msomali ana machine nzuri karibia zote workstation ila ana tamaa sana waweza mcheki kama unaweza kumshusha. Yupo masasi na ndanda kama sijakosea.Asante mkuu, ngoja nizisake
Hii itamfaa..Kukusaidia mkuu Mitaa mzuri ya Desktop ni kuanzia likoma pale, likoma na Agrey na Likoma na masasi, kama unaelekea China Plaza. Kuna jamaa fulani anajiita Msomali ana machine nzuri karibia zote workstation ila ana tamaa sana waweza mcheki kama unaweza kumshusha. Yupo masasi na ndanda kama sijakosea.
Yupo mshkaji mwengine kaale pale kanisa la KKKT kama unataka kununua pc za bei rahisi na kuzi upgrade.
Machinga complex pia ni option sema wale wengi desktop zao za kizamani sana.
Sasa si ununue PS4 tu, hapo PC inakuwa kwaajili ya shughuli zingine, PS4 inakuwa kwaajili ya games tu.Hii ya sasa ni laptop mkuu
Unajua kuwa gameplay ya fifa24 kwenye ps4 na pc ni tofautia kabisa.Sasa si ununue PS4 tu, hapo PC inakuwa kwaajili ya shughuli zingine, PS4 inakuwa kwaajili ya games tu.
Ama shida nini mzee?
Mkuu, shida niliyoiona mpaka sasa kutokana na maelekezo yako na Chief ni kuwa gaming PC zinahitaji uwe tech nerd, ila PS 4 console haihitaji hilo.Unajua kuwa gameplay ya fifa24 kwenye ps4 na pc ni tofautia kabisa.
Yaani bora achukue ps5 sishauri ps4 kabisa kwa sasa.
Kuongezea kama unaitaka hio gaming PC kwa bei rahisi.Mkuu, shida niliyoiona mpaka sasa kutokana na maelekezo yako na Chief ni kuwa gaming PC zinahitaji uwe tech nerd, ila PS 4 console haihitaji hilo.
Yaah mkuu, yaani ukifungua steam inakuwa kama console. Hata kama ni cracked unaadd tu pale non steam games fresh.Kuongezea kama unaitaka hio gaming PC kwa bei rahisi.
Kama una hela na una uwezo wa kununua games kuna gaming PC nyingi tu prebuilt unaweka tu steam big picture unasahau hata kama ni pc.h
Pc ina advantage nyingi kuliko console. Ndio maana advance gamers wanaendaga na pc sio console.Mkuu, shida niliyoiona mpaka sasa kutokana na maelekezo yako na Chief ni kuwa gaming PC zinahitaji uwe tech nerd, ila PS 4 console haihitaji hilo.
Pad ya ps 4 ofa 20,000 ukitaka na ps 4 nipe 390,000 Nisha Kuwa mkubwa magemu sitaki nipo manzese njoo pm kama unataka
Isha Toka mkuuBado ipo