Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,359
- 39,594
- Thread starter
- #1,181
Nimecheki hapa steam pre oder ni dola 69.Ndio biashara yao ilivyo mkuu, waki update hutanunua game jipya. Siku zote update za msimu mpya zinatoka kwa 3rd party developers na sio wenyewe.
Halafu kimuonekano safari hii litakuwa halina tofauti sana na hili.