PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Wakuu mwenye fifa 14 patch 24/25 au pes 17 patch 24/25 anisaidie location nije kuchukua pc yangu ime corrupt nimepoteza games asee
Dog nilikuwa pes 17 patch 25 bahati mbaya San madogo walifuta kama PC Ina Nvdia 840m kwenda Juu karibu nikupe fifa 19 na pes 21 Utanipa hela ya Bia Tu mpwa
Mortal Kombat xl
Cod blacks ops
Battlefield 4
Assassin Creed syncade
Sifu
Mad max

For PC only
 
Unapata kinguin mpaka €30 sema not worth it kwa shared account kulipia hela hio. Subiria kidogo black Friday na msimu wa siku kuu kutakuwa na offer nyingi.
Ndio na mimi nawaza nisubiri msimu wa december sikukuu bei labda zitashuka napo si uhakika.
 
Ndio na mimi nawaza nisubiri msimu wa december sikukuu bei labda zitashuka napo si uhakika.
Sasa hivi kuna sale ultimate kutoka $100 hadi $40 kwa 60% off, standard ipo vile vile, ikishuka standard kwa same percent angalau $30 kushuka unaweza ukajibana ukanunua. Blackfriday ni mwezi unaokuja Nov mwishoni.
 
Halafu now fc24 online ma Bots yamekuwa mengi hadi kero, yaani asilimia kubwa unakuta huchezi na real person.
Sasa hivi kuna sale ultimate kutoka $100 hadi $40 kwa 60% off, standard ipo vile vile, ikishuka standard kwa same percent angalau $30 kushuka unaweza ukajibana ukanunua. Blackfriday ni mwezi unaokuja Nov mwishoni.
 
Server bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.
Sijajua...

Inaboa sana. Sasa inakuwa hata haina haja ya kucheza online bora ucheze na AI ya games yenyewe offline.
 
Server bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.
Nimepata notification

Naona fc 25 imeshashuwa bei...

Now ni usd 35 kama 90000 tu hivi.
1000061955.jpg
 
hiii ya 2023 n kali sema mziki n kulifanyia installation ninalo kwenye pc yan chuma kinacheuwa tu hakiingii cjui n copy au n nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom