Pata samaki fresh kutoka ziwa victoria

Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30

halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara

Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Pole mkuu. Huku kwenye mtandao usiamini watu kabisa kabisa.
 
Ni kweli kabisa. Samaki wa Dar ni wazuri. Pia kuna samaki wanatoka bwawa la Nyumba ya mungu ni wana ladha nzuri sana.
Nyie ukipitia kwenye baadhi ya comments zenu kwenye Thread hii zinaweza kuwasaidia watafiti wanaumiza kichwa na kutatufa sababu ya kwanini Africa imekwama kusonga mbele kimaendeleo.
 
Asante sana Mungu awaongezee.
1000064418.jpg
 
Mwanzoni ulisema uko rocy city for14 yrs.
Ukatamani kumsaidia yule mtu alolalamika.

Nikaja kushangaa unaulizs gharama za kutuma kwandege .hapo nlishangaa kwasababu ungeweza kuuliza wenyeji huko..!wasalimie huko✌️
... Kumbe unasoma halafu unachanganya.

Niliandika niko JF for 14 yrs kwa maana kwamba nimejiunga mwaka 2011.

Mwanza niko hapa kwa miaka 22 sasa

Read again..
 
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Kama sio kila mtu tapeli kwanini usitume mzigo kwanza?
 
Back
Top Bottom