Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,087
- 3,921
Utombo kuwa kg 2 kwenye kilo 25 ni kawaida sanaView attachment 3309069
25kg nimepokea 23 hivi kweli utumbo kg 2?
Utombo kuwa kg 2 kwenye kilo 25 ni kawaida sanaView attachment 3309069
25kg nimepokea 23 hivi kweli utumbo kg 2?
Ungesoma uliachoandika usingeniuiza hili swali..Whatsa wrong with you?
Like this Mrs B?Ungesoma uliachoandika usingeniuiza hili swali..
Pole mkuu. Huku kwenye mtandao usiamini watu kabisa kabisa.Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30
halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara
Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Ni kweli kabisa. Samaki wa Dar ni wazuri. Pia kuna samaki wanatoka bwawa la Nyumba ya mungu ni wana ladha nzuri sana.Yes samaki wa baharini ana taste tofauti .kachangamka zaidi mdomoni
Nyie ukipitia kwenye baadhi ya comments zenu kwenye Thread hii zinaweza kuwasaidia watafiti wanaumiza kichwa na kutatufa sababu ya kwanini Africa imekwama kusonga mbele kimaendeleo.Ni kweli kabisa. Samaki wa Dar ni wazuri. Pia kuna samaki wanatoka bwawa la Nyumba ya mungu ni wana ladha nzuri sana.
Mkuu nashukurusha sana kukunipa kazi Mungu akubariki sana.Mzigo wako ulipungua kg 3.5 ikabadi nikuongezee kg 1.View attachment 3309069
25kg nimepokea 23 hivi kweli utumbo kg 2?
Mwanzoni ulisema uko rocy city for14 yrs.Like this Mrs B?
Hapo umenena vyema.Kote nimeishi mkuu...tasi ana ladha yake huwezi mfananisha na wa majibaridi...vile vile ningu naye ana utamu wake..sato ni ✌️👌
Siyo majivuno mkuu, hivi vidudu kwa kweli vimenishinda. Chakula gani unakula unakula na mchanga?Unaweza kuita chakula takataka,acha majivuno.
Hawa shrimps wanapatikana na ziwani pia?
... Kumbe unasoma halafu unachanganya.Mwanzoni ulisema uko rocy city for14 yrs.
Ukatamani kumsaidia yule mtu alolalamika.
Nikaja kushangaa unaulizs gharama za kutuma kwandege .hapo nlishangaa kwasababu ungeweza kuuliza wenyeji huko..!wasalimie huko✌️
Kama sio kila mtu tapeli kwanini usitume mzigo kwanza?Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Kwanini mnavua vitoto vya samaki?
Mno yani samaki ni watamu mnoNice
Mwenyeshida ya samaki ni mtumaji au mpokeaji?Kama sio kila mtu tapeli kwanini usitume mzigo kwanza?
Sawa... Kumbe unasoma halafu unachanganya.
Niliandika niko JF for 14 yrs kwa maana kwamba nimejiunga mwaka 2011.
Mwanza niko hapa kwa miaka 22 sasa
Read again..