johari Joh
Member
- Apr 16, 2025
- 49
- 71
- Thread starter
- #21
Hawa ni dagaa wachafu kwajili ya kuku
Hawa ni dagaa wachafu kwajili ya kuku
Bongo biashara ya mtandao ina USENGE MWINGI SANAAA.Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
May be point ya kwanza na pili. Ila ya tatu bei sawa na Dar. Tena bei ya reja reja. Tena muda mwingine bora ununue kwa wauzaji wa kubwa kama pale riverside ubungoKunatofauti kubwa sana bro kuagiza kwangu na kununua hapo dar,
- Samaki wangu ni fresh.
- Nawatumbua na kuwaosha kabla ya kuwatuma.
- Kila kilo moja ya samaki nitakakutumia kuna punguzu la bei ukilinganisha na hapo.
Samaki tunawatumbua na kuwaosha baada ya kuwapima uzito,ukitaka tukutumie bila kuwatumbua na kuwaosha utasema
Unanunua popote sio kila mtu yuko liver side.May be point ya kwanza na pili. Ila ya tatu bei sawa na Dar. Tena bei ya reja reja. Tena muda mwingine bora ununue kwa wauzaji wa kubwa kama pale riverside ubungo
Mbeya kuna watu wengi na wajua tatizo naweza kuwatu wakafuka Mbeya ukagoma kuwachukua ukasema nilijua utani wa mtandaoni.Bongo biashara ya mtandao ina USENGE MWINGI SANAAA.
Kama unamtu unamjua yupo Mbeya umtumie samaki nikachukulie kwake ndio nilipe baada ya kuona mzigo HAPO SAWA.
Ila kutuma tu pesa, mmmmh PESA INAUMA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mbona umekuwa mkali au ni wewe ni nini. Mimi nimewapa watu angalizo tu wasije kuibiwa kama nilivyoibiwa mimi naona umekasirika.Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Nafanya biashara seriou,siwezi kufanya hivi,iko hivi malipo yote upitia kwenye accont ya kampuniTatizo kubwa la Watanzania walio wengi ni kukosa uaminifu kwenye biashara.
Wanapotangaza biashara wanafanya kwa mbwembwe na unyenyekevu wote. Akishatumiwa pesa, hapo ndipo mapichapicha huanza.
Asante Mkuu, ni siku nyingi sana hata namba nilishazifuta. Binadamu sio waaminifu kabisa mtu anakuja mitandaoni anajitangaza ukishamtumia pesa anakuletea mzigo feki. Wabongo tuna safari ndefu ya mafanikioPole sana mkuu. Natamani sana nikusaidie kwenye hili swala.
Niko mwanza kwa mda mrefu sana na JF natumia ID hii kwa Miaka 14 sasa
Ukiona mtu anawaza sana kuibiwa ujue na yeye ni muaminifu sana.Mbona umekuwa mkali au ni wewe ni nini. Mimi nimewapa watu angalizo tu wasije kuibiwa kama nilivyoibiwa mimi naona umekasirika.
Hatuwatumii pesa mpaka tuuone mzigo na tuupime kama umetimia. watu wengi sio waaminifu. Ni bora nikanunue samaki pale Kibangu kuliko nimtumie pesa mtu niliyekutana naye mtandaoni kama wewe
Yeye anaangalia upande wake tu hajali upande wako. Na ukiona hivyo ujue hakuna uaminifu.Mbona wewe unanataka ulipwe pesa yote bila kutuma mzigo? Mbona imekaa upande mmoja hii
Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?Samaki tunawatumbua na kuwaosha baada ya kuwapima uzito,ukitaka tukutumie bila kuwatumbua na kuwaosha utasema