Pata samaki fresh kutoka ziwa victoria

1000064260.jpg

Hawa ni konokono wamesagwa kwajili ya chakula cha kuku
 
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Bongo biashara ya mtandao ina USENGE MWINGI SANAAA.

Kama unamtu unamjua yupo Mbeya umtumie samaki nikachukulie kwake ndio nilipe baada ya kuona mzigo HAPO SAWA.

Ila kutuma tu pesa, mmmmh PESA INAUMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kunatofauti kubwa sana bro kuagiza kwangu na kununua hapo dar,
  1. Samaki wangu ni fresh.
  2. Nawatumbua na kuwaosha kabla ya kuwatuma.
  3. Kila kilo moja ya samaki nitakakutumia kuna punguzu la bei ukilinganisha na hapo.
May be point ya kwanza na pili. Ila ya tatu bei sawa na Dar. Tena bei ya reja reja. Tena muda mwingine bora ununue kwa wauzaji wa kubwa kama pale riverside ubungo
 
Bongo biashara ya mtandao ina USENGE MWINGI SANAAA.

Kama unamtu unamjua yupo Mbeya umtumie samaki nikachukulie kwake ndio nilipe baada ya kuona mzigo HAPO SAWA.

Ila kutuma tu pesa, mmmmh PESA INAUMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mbeya kuna watu wengi na wajua tatizo naweza kuwatu wakafuka Mbeya ukagoma kuwachukua ukasema nilijua utani wa mtandaoni.
 
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Mbona umekuwa mkali au ni wewe ni nini. Mimi nimewapa watu angalizo tu wasije kuibiwa kama nilivyoibiwa mimi naona umekasirika.
Hatuwatumii pesa mpaka tuuone mzigo na tuupime kama umetimia. watu wengi sio waaminifu. Ni bora nikanunue samaki pale Kibangu kuliko nimtumie pesa mtu niliyekutana naye mtandaoni kama wewe
 
Tatizo kubwa la Watanzania walio wengi ni kukosa uaminifu kwenye biashara.
Wanapotangaza biashara wanafanya kwa mbwembwe na unyenyekevu wote. Akishatumiwa pesa, hapo ndipo mapichapicha huanza.
Nafanya biashara seriou,siwezi kufanya hivi,iko hivi malipo yote upitia kwenye accont ya kampuni

Unaweza kulipia bank au ukalipia kwanjia ya Lipa kwa Simu.
 
Mbona umekuwa mkali au ni wewe ni nini. Mimi nimewapa watu angalizo tu wasije kuibiwa kama nilivyoibiwa mimi naona umekasirika.
Hatuwatumii pesa mpaka tuuone mzigo na tuupime kama umetimia. watu wengi sio waaminifu. Ni bora nikanunue samaki pale Kibangu kuliko nimtumie pesa mtu niliyekutana naye mtandaoni kama wewe
Ukiona mtu anawaza sana kuibiwa ujue na yeye ni muaminifu sana.
 
Samaki tunawatumbua na kuwaosha baada ya kuwapima uzito,ukitaka tukutumie bila kuwatumbua na kuwaosha utasema
Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?

Kwanini usimtumbue na kumuosha ndio umpime uzito uniuzie? Kwani na hayo mauchafu unanitumia?
 
Back
Top Bottom