OMG..................My Mid-life Crisis....Unhappiest

Kaizer,nimetoa changamoto tu,mie sio wa kwanza na wala sitokuwa wa mwisho,kuna watu kwenye jamii tena wana ndoa lakini wanafanya vitu vya ajabu,sleeping around na watoto ambao waweza kuwa sawa na watoto wao,wanatembea na shemeji zao au ndugu zao kwa sababu tu wamekuwa in trusted kwao,wanafanya ufusika ambao huwezi amini kama upo hapa bongo.
Kwangu hizi ni kama symptoms tu za MLC na kitu kizuri zaidi siko kwenye denial stage ndio maana nikaleta thread hii.Sijapoteza focus ya maisha yangu kama wengine wanavyofikiria,nawasomesha watoto wangu kwenye best education system in the world,am working hard to get to the top for my carrier,am god fearing person and i got strong family iliyoni-support wakati nipo low of the lowest.

Naomba tushare tunayo yaona kwa wenzetu au sisi wenyewe tunayafanya lakini hatujui tu kuwa ni symptoms au full blown MLC.Niko mbali mkuu Kaizer lakini ningekutafuta leo tunywe japo safari water,my favourites,lol.Nitakutafuta nikirudi though,in few weeks time.
:twitch:
 
Again my dear KIKUNGU, u r neither in the mid –life crisis nor getting grumpy 40-something old man. A s I see and look at u, u look like ur in early 30s just like me, though am in my early 40s I look like am in my early 30s. See....!!! Just get ready for this week end, tango dance on stage, after that salsa follows, remember a rose should be in ur mouth...............

A word of sharing: whatever past memory flash bad images in ur mind, get rid of them and enjoy the life, life is to enjoy, smile always my baby KIKUNGU hata kama wengine watasema umezeeka to me u r a baby, luv u.

Ooh wooh..........it's hot in here,am sweating..................am dying to dance salsa,lol.Thanks sweetheart everything is "hunk-dory".Mungu ataniongoza Sakapal bwana,naabudu,sali na kumsifu kila siku.
 

I did reasonably well in my 30’s, I got married, had my first child soon after, are you @mzabzab? Did my post graduate studies and my professional accreditation, am semi- professional though compared to you, @EMT, lol….. enjoyed my married life for a couple of years and had my second and last child, how many have you got, @FP?

Then I turned 40, how old are you, @sakapal?…………………..shetani akaingia……Sio wa kuvuta Bangi, @karucee………….went to hell and back in my last two years of married life……......after the messiest proceedings I got divorced, it is not a laughing matter, @Kongosho……...I lost everything I had but not hope, don’t cry for me my sister Kaunga……Nilijikung’uta makalio na kufuta machozi,nikaanza upya,I wish @lara1 angekuwepo kipindi hicho….. Am enjoying my job but am the busiest man alive, @smile…….. don’t have time for romance, romance? Yes, @King'asti………nakutana na watu
wengi na wa aina tofauti, hata wewe @boflo……….neither drink nor smoke, Mmmh Karucee …..Am generally fitter and healthier because that is how I decided to live, will you, @Badili Tabia, @the boss are you?

Occasionally I do my clothing and snickers shopping, @BAK lol…….my shopping bag is full of tight jeans,t shirts and slim fit shirts for my casual outing, lol……...@Mtambuzi hizi ni nguo za 40-something kweli? @Mentor hebu nishauri……….career wise am still slowly pushing to get there, at the summit but not sure if at all I ever wil…........,is it because am 40-something, @Rutashubanyumaplease? I wish ningejikomba kwa @Nataliaakanipa ki-memo, mke ya mzungu hii,lol
Mara ya mwisho nimeenda @Sikonge,kule kwa wakonongo,Ipole,wajomba wa kinyamwezi, @St Paka Mweusi, @Itegamatwiwakaniuliza kwa nini sijapata mke mwingine,nikawajibu nangoja watoto wangu wakue kwanza ndio nitafikiria,they are 13 and 12 years old,….sijui kama hili jibu lilikuwa sahihi……@AshaDii, @Dark City,was I right?

By this age, innocence has been lost, but my sense of reality is mixed with a strong sense of hope…..am I honest with myself, guys? @Sikonge, @snowhite, @gfsonwin I still have 'can do' spirit and a healthy belief in my own abilities but I have yet to develop the cynicism and world-weariness that comes with my 40-something years, @Horsepower, @Sarikoko. My school and College days was the happiest, @Nivea, @Madam X, followed by golden decade of 23-34's,when music was music,BAK,cheer me up please,and AIDS was associated with certain tribes, @bishanga, but am still doubting my transition from 30’s to 40’s and when I hear about the stereotype of mid-life crisis, am just getting confused.Am i just affected by negative emotions so that good times brought whopping highs but bad times are bringing anxiety and introspection?


Wana JF hebu nijuzeni,mie, niko kwenye hii mid –life crisis or am just getting grumpy 40-something old man.Hebu wana JF changieni hizi ndio zile dalili au naogopa kivuli changu tu,lol.Tu-share jamani


Cc @kaizer, @Nyani Ngabu, @Watu8, @fighter




Nafikiri it is okay to be childlike and ni kichekesho kuwa childish.
Kama wengi walivyo shauri, ni vizuri kuwa na spirit au kufeel like thirty or whatever age ambayo inakupa nguvu ya kufanya mambo; but dont act like twenty something au thirty something while you are forty or fifty something.
Nasi tulio kwenye thirty something we can feel like twenty or forty but we should act our age. Labda kama hatujali kabisa impression tunayoiacha kwa jamii.
 
Nafikiri it is okay to be childlike and ni kichekesho kuwa childish.
Kama wengi walivyo shauri, ni vizuri kuwa na spirit au kufeel like thirty or whatever age ambayo inakupa nguvu ya kufanya mambo; but dont act like twenty something au thirty something while you are forty or fifty something.
Nasi tulio kwenye thirty something we can feel like twenty or forty but we should act our age. Labda kama hatujali kabisa impression tunayoiacha kwa jamii.
Mie bwana nina mtihani kwenye 'acting my age'. Labda sasa hivi nimeshaitwa mama nitabadilika. I swear. kwa hili nahitaji darsa so I would be the last person kutoa ushauri nimwambie act your age.
 
Kaunga kakao Kikungu mengi yapo moyoni kwake.Kaa nae muulize vyema akwambie ya moyoni mwake hajafunguka yote.
 
Pole Ila hujafunguka nahisi kuna la zaidi moyoni mwako.Funguka kijana wa Kinyamwezi ili tuweze kukusaidia.
 
Pole Ila hujafunguka nahisi kuna la zaidi moyoni mwako.Funguka kijana wa Kinyamwezi ili tuweze kukusaidia.

Ha ha ha Strawberry bhana kama wewe ni Psychologist labda unipe an audience na wewe labda waweza nisoma zaidi,lol.
 
Kaunga kakao Kikungu mengi yapo moyoni kwake.Kaa nae muulize vyema akwambie ya moyoni mwake hajafunguka yote.

Huyu dawa yake ni kumuandalia blind date tu na shombeshombe la kieritrea na kimakonde hizo sijui stress au MLC zote zitamuisha! LOL
 
Huyu dawa yake ni kumuandalia blind date tu na shombeshombe la kieritrea na kimakonde hizo sijui stress au MLC zote zitamuisha! LOL

Mmmh we wasyovye mwe............nkwiza kunuko ku vaha,lol.
 
au unipeleke mimi? sijui mchaga naqualify?

Ulivyo mvivu vile wa kutoa dose, si utamsumbua tu kaka yangu. Hiyo ratiba ya kamoja kwa week ni kumuongezea stress.
Uchezwe kwanza halafu tukutafutie dawa ya kuongeza nguvu za kike ndipo utakapoendana na mshindo wa bro.
 
Ulivyo mvivu vile wa kutoa dose, si utamsumbua tu kaka yangu. Hiyo ratiba ya kamoja kwa week ni kumuongezea stress.
Uchezwe kwanza halafu tukutafutie dawa ya kuongeza nguvu za kike ndipo utakapoendana na mshindo wa bro.
ahaaa kweli kabisa labda nifundwe kwanza mchaga kwa dozi ya mnyamwezi mmh hii tiba haitatoa tatizo
 
All i can see is some dope writing skills man. I'm not following most of it, maybe coz i'm a newbie, but i've picked up a few. Props to the writer
 
Back
Top Bottom