amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,153
:twitch:Kaizer,nimetoa changamoto tu,mie sio wa kwanza na wala sitokuwa wa mwisho,kuna watu kwenye jamii tena wana ndoa lakini wanafanya vitu vya ajabu,sleeping around na watoto ambao waweza kuwa sawa na watoto wao,wanatembea na shemeji zao au ndugu zao kwa sababu tu wamekuwa in trusted kwao,wanafanya ufusika ambao huwezi amini kama upo hapa bongo.
Kwangu hizi ni kama symptoms tu za MLC na kitu kizuri zaidi siko kwenye denial stage ndio maana nikaleta thread hii.Sijapoteza focus ya maisha yangu kama wengine wanavyofikiria,nawasomesha watoto wangu kwenye best education system in the world,am working hard to get to the top for my carrier,am god fearing person and i got strong family iliyoni-support wakati nipo low of the lowest.
Naomba tushare tunayo yaona kwa wenzetu au sisi wenyewe tunayafanya lakini hatujui tu kuwa ni symptoms au full blown MLC.Niko mbali mkuu Kaizer lakini ningekutafuta leo tunywe japo safari water,my favourites,lol.Nitakutafuta nikirudi though,in few weeks time.