I doubt he saw it coming. Halafu with little kids in the picture lazima you will be thrown into turmoil, japo kidogo Kaunga. Au sio sis?Kaka yangu mimi sioni dalili kubwa za MLC; ninachoona ni dalili za self pity na naweza sema hujarecover bado kutoka ktk hiyo divorce.
Imemuacha pabaya sana, na to some extent anajidanganya kwamba it is over while it is not. Hata huo ubusy ni coping mechanism ambayo inambore mwisho wa siku.I doubt he saw it coming. Halafu with little kids in the picture lazima you will be thrown into turmoil, japo kidogo Kaunga. Au sio sis?
Just because wewe uliamua kuwa shoga haimaanishi wengine wanataka kufanya hayo maasi. Grow up.Hiyo shopping bag yako na kutokuwa na mwanamke inanifanya niwaze unakaribia kuwa shoga au ndio mambo ya uzee mwisho chalinze (shopping bag)
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Hiyo shopping bag yako na kutokuwa na mwanamke inanifanya niwaze unakaribia kuwa shoga au ndio mambo ya uzee mwisho chalinze (shopping bag)
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Tufanye sijaiona hii post. LOLAm straight and my fu...cking d.i.c.k is as hard as mti wa mpingo tena ni mzigo wa kinyamwezi hasa.GIVE me a game Menyous,you will believe and trust me.IT is just a style and fashion
A
Same here. haha.Tufanye sijaiona hii post. LOL
First Congratulations on your achievements buddy. Splendid I must say. Secondly pole for the divorce and the position it put you and the kids in.Thirdly relax.... MLC is not coming anywhere near you soon. I think the busy man is getting overwhelmed with work and worry. You worry too much. Will I get where I wanna be career wise? Will my kids turn out right? Relax.... take it easy. Stop worrying over things we have no control. Leave it all in the hands of God. He will never let you stray. And do cheer up. God isnt finished with you yet.:mvutaji:
Now pass that puff. haha
Unacho experience ni anxiety nahisi..
anxiety ya kuzeeka?
au ya kutojua nini right ufanye now,
uoe tena as fast? usubiri kwanza?
urudi kwa wife?
midlife crisis mostly inawa umiza wale ambao hawako aware
kama unafahamu hiyo kitu ipo mostly ni rahisi kui control
mamaa ubaya? upo divorced wewe?
Then I turned 40, how old are you, sakapal?…………………..
Oooh my dear KIKUNGU, me sakapal.?? am in my 40s just like u but never mind age is just the number. Tell me now am I old enough to give ur groove back and lets play the tango??? r u ready for the dance???
Wana JF hebu nijuzeni,mie, niko kwenye hii mid –life crisis or am just getting grumpy 40-something old man.