TAJIRI NAAM ILI JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA LIPO MBWENI JKT, JUMBA KUBWA LA GHOLOFA 1
INA VYUMBA V4 VYOTE NI MASTER BADROOMS, NYUMA KUNA BOY COTER INA VYUMBA V5 VYOTE NI MASTER BEDROOMS, KUNA SWIMING POOL KUBWA,
UKUBWA WA UWANJA NI SQM-2000, INA TITLE DID YAANI INA HATI
INAUZWA DOLA MILION 3$, UKUTA WA NYUMBA HIZO HAIPITISHI RISASI (BULLET PROOF) HILI JUMBA LINAUZWA NA FENICHA ZAKE ZA NDANI HAKUNA KINACHO TOLEWA,,

👉 MENGINE ZAID NJO UJIONEE MWENYEWE SITE TAJIRI

👉 WOTE MNAKARIBISHWA KWA MAWASILIANO ZAID PIGA NAMBA HIZO HAPO

👉0675 065906

View attachment 3086230View attachment 3086232View attachment 3086234View attachment 3086235View attachment 3086236View attachment 3086237View attachment 3086238View attachment 3086239View attachment 3086240View attachment 3086241View attachment 3086242View attachment 3086243View attachment 3086244View attachment 3086245View attachment 3086246View attachment 3086247View attachment 3086248
$ 3M way too expensive, hizo nyumba za kina Ricky Ross huko sio mbweni.
Akipata 1B achukue na asiangalie nyuma
 
Hii nyumba hata tshs bil 1 huwezi pata mteja na sio nyumba ya kifahari hii, nyumba kama godown kwa nje, hivi hata kujua thamani halisi ya nyumba hamjui..!! Hii nyumba najenga kwa tshs mil 320 tena yenye structure nzuri kuliko hii…!!
Labda sehemu za nondo uweke miti na waya za umeme utumie za kiwango cha chini sana pamoja na ishu ya Plumbing ninyi Wajenzi mkiona nyumba ni kuishusha thamani ukiambiwa pesa hii tujenge unaleta kitu kisichoeleweka..
 
Sio kweli, mbweni kiwanja Cha sqm 1200 unapata kwa mil 120-150. So Cha sqm 2000 unapata vizuri tu

Lakini yeye hiyo gharama ya mil 320 amezungumzia ujenzi tu na sio mpaka ununuaji wa kiwanja
Hakuna kitu kama hicho hayo majengo si yangejaa yeye anadhani hiyo 320m kwa Ujenzi ni nyingi sana..
 
Ujenzi Tanzania upo juu sana ndio maana nyumba zinauzwa bei kubwa hiyo pesa kwa hiyo nyumba haitoshi Mkuu.
Bro bei hizi kubwa unazoona sio halisia kabisa. Katika mazingira yoyote yale huwezi uza nyumba ya aina hii kwa Bil 8. Hii Bei unanunua nyumba 10 New york

Palm Jumeirah tu Villa yenye bedrooms 7 na living space ya zaidi ya sqm 1000 unapata kwa around Bil 5

Sasa hii ya mbweni uhalisia wake upo wapi?
 
Mkuu unazungumzia maisha ya New York au SA ambayo gharama za ujenzi sio sawa na Tanzania ambayo nondo bora zilikua zinatoka SA mpaka kesho.
Hapa SA nyumba nzuri tena gorofa unaweza kupata kwa B 1 ni kutokana na thamani ya hiyo pesa katika Nchi hiyo kitu kinaitwa Value for money pana watu nawaambia hapa tunanunua magari bei nzuri ya miaka ya karibuni ila hayo hayo machakavu wananunua kwa bei kubwa UK na Japani..
 
Inawezekana tunaongea lugha moja Ila kwa namna tofauti. Namaanisha kwa namna yoyote ile gharama za ujenzi kwa marekani haziwe kuwa sawa na Tz. Hiyo nyumba iliyopo mbweni haiwezi kuwa Bei kubwa mara 10 ya nyumba iliyopo New york(namaanisha hii inayouzwa)
 
Nyumba za Tanzania gharama za ujenzi zipo juu sana kutokana na gharama za Ujenzi inaweza kuwa hiyo B 8 sio gharama yake ila kujenga nyumba Tanzania yenye Ubora ina gharama kubwa kuliko hata hapa SA. Vifaa vya ujenzi hapa sio gharama kubwa hata vyenye ubora kuliko hapo Tanzania kodi imeongeza gharama za ujenzi kwa % kubwa sana.
 
Hata Bongo sio gharama. Sijui kuhusu SA. Ila contractor wa kawaida anachaji kiasi gani huko per square metre? Namaanisha square metre ya kipande kilichoisha kabisa

Bongo watu wengi waliojenga ni waongo sana. Mtu akitumia mil 50 anasema katumia mil 80.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom