Jun 25, 2024
81
80
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
 

Attachments

  • IMG-20240808-WA0022(1).jpg
    56.2 KB · Views: 26
  • IMG-20240808-WA0023(1).jpg
    58.6 KB · Views: 24
NYUMBA INAUZWA BINAFSI

IPO KILUVYA MADUKANI DAR ES SALAAM TANZANIA

BEI TSH MILION 68
MAZUNGUMZO YAPO.

UKUBWA WA ENEO SQM 700

UMILIKI:MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA (HATUA ZA URASIMISHWAJI ZIMEANZA)

VYUMBA 3 VYA KULALA
MASTER BEDROOM MBILI
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
FENCED AND GATE
MAJI YAPO DAWASA
UMEME UPO
0675 065906
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Sawa. Ila kama ipo Kiluvya Madukani upande wa kushoto kama unaelekea Kibaha, huko Kisarawe.
 
BEI 300M

APARTMENTS ZINAUZWA MBEZI KIBANDACHAMKAA/MBEZI KWA MSUGURI

APARTMENT ZIPO JUMLA 4
NDANI YA FENCE
APARTMENT 3 ZIPO SEHEMU MOJA NA NYINGINE NI STAND ALONE

APARTMENTS HIZI 3 ZINA SIFA ZIFUATAZO KILA MOJA
-VYUMBA VI WILI VYA KULALA,KIMOJA NI MASTER BEDROOM, SEBULE KUBWA JIKO LENYE MAKABATI NA CHOO CHA FAMILIA NA UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
HAPA UKIPANGISHA KODI UTAOKOTA TZS 300,000/= KWA MWEZI

NA APARTMENT YA 4 NI STAND ALONE
VYUMBA VITATU VYA KULALA, KIMOJA NI MASTER BEDROOM,SEBULE KUBWA, JIKO NZURI LENYE MAKABATI NA CHOO FAMILIA NA UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA

UKIPANGISHA UTAOKOTA KODI NI TZS 400,000/= KWA MWEZI

UKUBWA WA ENEO NI SQMT 1500
BEI NI MILIONI 300 MAONGEZI YAPO KIDOGO

APARTMENTS ZOTE ZINA WAPANGAJI NDUGU MTEJA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KABISA

APARTMENTS ZINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI [TITLE DEED IPO]

NA ZIPO UMBALI WA KILOMETA 1 KUTOKA MOROGORO ROAD KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA ILA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI NI KILOMETA 1.6 KUTOKA MOROGORO ROAD
MWEKEZAJI PIGA SIMU
0675 065906
 

Attachments

  • 1724145405619.jpg
    265.1 KB · Views: 13
  • 1724145409065.jpg
    249.4 KB · Views: 16
  • 1724145412291.jpg
    281.5 KB · Views: 13
  • 1724145415093.jpg
    262.3 KB · Views: 19
  • 1724145423955.jpg
    174.8 KB · Views: 18
  • 1724145426787.jpg
    280.4 KB · Views: 15
  • 1724145435318.jpg
    223 KB · Views: 16
  • 1724145431416.jpg
    193 KB · Views: 16
  • 1724145418279.jpg
    243.5 KB · Views: 15
  • 1724145421089.jpg
    170.6 KB · Views: 16
NYUMBA ZINAUZWA MBEZI MWISHO KARIBU NA STENDI YA MAGUFURI ZINA WAPANGAJI

ENEO LA NYUMBA NI SQM 1600
BEI YAKE NI MLN 70 TU.
β– β– Kiwanja kina hati
β– β– Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji
β– β– Kilometres 2 kutoka stand ya mabasi Magufuli
β– β– 
β– β– Piga 0675 065906


 
TAJIRI NAAM ILI JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA LIPO MBWENI JKT, JUMBA KUBWA LA GHOLOFA 1
INA VYUMBA V4 VYOTE NI MASTER BADROOMS, NYUMA KUNA BOY COTER INA VYUMBA V5 VYOTE NI MASTER BEDROOMS, KUNA SWIMING POOL KUBWA,
UKUBWA WA UWANJA NI SQM-2000, INA TITLE DID YAANI INA HATI
INAUZWA DOLA MILION 3$, UKUTA WA NYUMBA HIZO HAIPITISHI RISASI (BULLET PROOF) HILI JUMBA LINAUZWA NA FENICHA ZAKE ZA NDANI HAKUNA KINACHO TOLEWA,,

πŸ‘‰ MENGINE ZAID NJO UJIONEE MWENYEWE SITE TAJIRI

πŸ‘‰ WOTE MNAKARIBISHWA KWA MAWASILIANO ZAID PIGA NAMBA HIZO HAPO

πŸ‘‰0675 065906

 
Aisee hilo bafu sii chumba kabisa kwa huku kwetu kinole....hapo unaruka sarakasi kabisa na ugali mlenda unakula chooni.
Watu wanaishi bwanaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…