Mzeeshughuli Bwana,
Nasaha zako safi ndugu yangu. Tatizo ni kuwa unaangalia upande mmoja na mifano yako iko kwenye mshazari huo huo. Ukiongelea Wapalestina inaonekana haikuyumkiini kabisa kuwa Northen Ireland zimepigwa na kulipuliwa mabomu ya kujiuwa kati ya Roman Catholic na Protetants. Pia unawasahau mabudha na mahindu wa kule Korea wanavyokabana makoo wao kwa wao n.k.
Na hapa kwetu ni muislamu yupi aliinuwa slaha kumpiga mkristo wakati waislamu walipouawa kinyama pale Mwembe Chai na kule Pemba. na hao ndio waislamu watanzania ambao saa nyingine unasema wajilipuwe. Ndugu yangu usisingizie dini za wenyewe mambo isiyokuwa nayo; si vizuri.
Wewe uwezo wa kuingia vichwani mwa waislamu na kujuwa huyu ana akili timamu na huyu hana uliupata wapi kama si uchovu tu wa kutafakari mambo na kutokuelewa waislamu hawajafumba macho ufikiriavyo wewe bali tu hawapendi ugomvi na wale wachache wanaochambuwa mambo kwa undani huwa ni tatizo kwa uelewa wako.
Amini usiamini, tumesoma na watoto wetu wamesoma elimu za dunia na akhera kwa kina kirefu na wala tunayoandika si hadithi. Wewe unaona mauaji ya mwembe chai yalikuwa hadithi. Mtu wa ajabu sana wewe!

Mzeeshughuli Bwana said:Chuki chuki chuki na chuki na hdithi na majazba ni ujinga na upuuzi sana . Ndiyo maana Wapalestina wanaumia kwa kuwa ya imai yao na madai ambayo hayasikilizwi mana yanakuja na chuki na wanaacha kujua kwamba Dunia imeendelea na watumie njia zingine za kuwakabili waisraeli. Jizalendo na nduguzo Tanzania ni ya wote na Mwalimu did well na hakuna wa kukataa hilo .Hubirini watoto wenu wasome na si chuki maana mkichelewa na wao watasoma hadithi kama hizi na wakashindwa kufanya mambo ya maana . Mwalimu alikuwa mwisho wa matatizo kila Muislam mwenye akili timamu knows .