Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 23,017
- 39,537
Wanted to say the same, kamuona jamaa mpole anatingisha kiberitiUnamchekea sana kiongozi
Wanted to say the same, kamuona jamaa mpole anatingisha kiberitiUnamchekea sana kiongozi
Achunguze circle ya mke wake, hawa ndio wana modify tabia za mke. Kama ni ma femist imeisha hiyoKwa story yako hapo ukimfua ndo hivo utakua umechoma kambi, atasepa.
Shida ya hawa ni akiona hufurukuti kwa chochote basi wanakuzoea vibaya.
Jitahidi sana kuzingatia mizaha, lakini pia kila mtu acheze na mipaka yake.
Penda sana kutoa maagizo, utamjengea mentality mpya ya kutawaliwa.
Lakini pia kumbuka mwanamke mara nyingi hufati shauri za mashosti zake, akiwa na mashosti wema ndo hivo utaenjoy ila wakiwa walugaluga, wachawi na mafeminist jipange mwanetu.
Yaani taabu zote hizi kwaajili ya nini? Kwa faida gani? Linda moyo wako....Sasa jitahidi kumkwepa..
Rudi nyumbani kulala tu, pia jitahidi sana ktk Chakula usile peke ako, akipakua na yeye ale hicho hicho.
Pia jitahidi wakati wa kulala usilale kama Ng'ombe, jitahidi ukae mkao.
Pia usiwe mtu wa maneno meengi, timiza wajibu wako kama Mume hasa wa kuacha kodi ya meza na kulipa bills.
Ukirudi hakikisha unarudi na zawadi.. muachie kisha oga vzr kula msosi.. lala.
Pia tafuta faraja nje ya Ndoa.. (Jiongeze) tafuta mtu wa kukupa furaha na amani ya moyo.. si lazima awe MPENZI.
Samaki mkunje akingali mbichi, ukijichanganya ukaingia kwenye mfumo wake utapata shida sana kujitoa, weka msimamo kama akiwa mgumu muonyeshe mlango wa kutokea. Hiyo kauli yake kuwa kama vipi aondoke huyo tayari ana plan b sasa ni bora uanze wewe kumuonyesha mlango wa kutokea kuliko yeye akitoka na kukuacha solemba utaumia sana.Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.
Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.
Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa
Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.
1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.
2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu
3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.
4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.
5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.
6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.
Nb.
Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.
SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.
"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"
ASANTEN:;-
🤣🤣🤣Mfanyie vitu vya kishenzi shenzi. Mfano, uwe unamla ndogo tigo kila siku asubuhi
Huo kumfira ni mfano tu, Mungu hapendi.
Maana yake ukimfanyia vitu vya kishenzi shenzi unqmvuruga mda wote hapoi roho yake iko juu juu atakupenda sana.
Wanawake wanapenda wanaume wa ovyo, ukiwa mstaarbu sana anakuona Lofa anakupanda.
Acha kushindana nae kabisa
🤣🤣🤣🤣 Last paragraph dahh!!! Kmmk 🤣Acha kushindana nae. Hata kama akikuumiza usionyeshe kama umekereka
Uwe unamfanyia Yale anayokukera aki mimd mulize mbona ulinifanyia hivi
Kuwa a very bad boy, usimfanye apumzike.
Onyesha kuwa na amri. Amka saa nane za usiku mwambie akutengenezee Chai, maziwa au mpe kikazi.
Usimjali sana akikwambia anaondoka cheka kwa dhihaka. Msikitikie
Usiache kumfira, usimfire kistaarabu...kumbuka ushauri wa mwanzo
🤣🤣🤣🤣Tulishakuonya mwanzoni ila hukusikia."KATAA NDOA"
🤣🤣🤣Aah nina girlfriend Mpare huyo anatoa amri kama Brigadier. Nilikuwa sizingatii kabila mpaka rafiki yangu aliponiambia ni Mpare, kaja ofisini kwangu siku ya kwanza tu anafokea kila mtu
Mungu akuinue Sana. Katika watu walioweza kuonesha Hali halisi ya Ndoa za kisasa wewe ni namba Moja. Umetoa Picha Halisi as if Umeiweka Kwenye Drama kumbe kutanabai nikakumbuka nasoma maandishi.🤭😝Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.
Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.
Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa
Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.
1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.
2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu
3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.
4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.
5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.
6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.
Nb.
Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.
SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.
"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"
ASANTEN:;-
Mkuu unahaligani huko ulipo,Aah nina girlfriend Mpare huyo anatoa amri kama Brigadier. Nilikuwa sizingatii kabila mpaka rafiki yangu aliponiambia ni Mpare, kaja ofisini kwangu siku ya kwanza tu anafokea kila mtu
This has worked with me.Loading failed ukweli mchungu ni kuwa, 'mwanamke hatoacha kukupima maisha yako yote' hivyo kamwe usilegeze kamba, tena kama ndiyo 'wenzangu na Mimi' ushasema, hili kabila kuna namna tupo bold naturally tu, yaani ukiwa dhaifu hakuna rangi utaacha kuona..!!
Kuwa mkali, kuwa na misimamo, hakikisha sana usiyumbishwe, ukikubali kuwa chini kwenye moja amini nakuambia umefungua mlango kuletewa ujeuri kwenye lingine..!! Hakuna mwanamke anapenda mwanaume dhaifu, laini laini, analegeza legeza, tunapenda wanaume wenye AMRI, na Ile MANHOOD hasa..!! kama wewe ni wa zile za 'babe babe' kwenye kila situation shauri yako,
Mwanamke wako akizingua unatakiwa uwashe moto hasa mzee, ukimuangalia jicho moja anaomba samahani, nyie endeleeni na mapenzi ya Kikorea..!!
Kwa hiyo unakubaliana na mimi wanaokata ndoa wengi ni wale walio lefti groupNdugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke .
Hahaha......wengine ni Tone of speech tu kutokana na malezi au Mother Tongue.. .lakini hawamanishi hivyoAah nina girlfriend Mpare huyo anatoa amri kama Brigadier. Nilikuwa sizingatii kabila mpaka rafiki yangu aliponiambia ni Mpare, kaja ofisini kwangu siku ya kwanza tu anafokea kila mtu
You are very correct....ukiwa Dhaifu tu utashangaa Mke anaaanz akugongwa nje na hata kama una hela na mali hatojali.Loading failed ukweli mchungu ni kuwa, 'mwanamke hatoacha kukupima maisha yako yote' hivyo kamwe usilegeze kamba, tena kama ndiyo 'wenzangu na Mimi' ushasema, hili kabila kuna namna tupo bold naturally tu, yaani ukiwa dhaifu hakuna rangi utaacha kuona..!!
Kuwa mkali, kuwa na misimamo, hakikisha sana usiyumbishwe, ukikubali kuwa chini kwenye moja amini nakuambia umefungua mlango kuletewa ujeuri kwenye lingine..!! Hakuna mwanamke anapenda mwanaume dhaifu, laini laini, analegeza legeza, tunapenda wanaume wenye AMRI, na Ile MANHOOD hasa..!! kama wewe ni wa zile za 'babe babe' kwenye kila situation shauri yako,
Mwanamke wako akizingua unatakiwa uwashe moto hasa mzee, ukimuangalia jicho moja anaomba samahani, nyie endeleeni na mapenzi ya Kikorea..!!
OtMimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa