Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,396
- 21,976
Sikujua tulikuwa tunashindana. Ningejua ulikuwa unafanya mashindano ningekupiga kwa hoja kali hata zaidi!Unaongea kutokana na ubishi, ujuaji na mihemko vimekujaa!
Haya umeshinda! We ndo unajua zaidi na wewe ndo upo sahihi na wewe ndo umeshida 🙌👍