Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,397
- 3,577
Chukua hii kama ifuatavyo;
1. Jitahidi uwe na hela kumzidi. Inawezekana sekta hiyo kakupiga bao. Au ana elimu kukuliko. Kwa elimu sio ishu. Ishu ni hela
2. Mchukulie poa. Usimchukulie serious sana. Ndivyo walivyo
3. Mkaze vizuri
4. Usipende kujibizana. Akiongea sana wewe fanya yako. Cheki tv, simu, kama kuna kazi ulikuwa unafanya, endelea nayo. Kisha akishabwabwaja weee, badili mada hapo hapo
4. Penda kumletea zawadi. Muwekee bando na muda wa maongezi, ila sio kama dozi.
5. Kelele zake zisikutoe kwenye mstari. Usihofie lawama zake kwamba ataondoka na blah blah zingine. Hapo ni kwake.
6. Ishi nae vizuri na kwa akili. Wanatunza vitu moyoni na ukianza kuzeekazeeka ndio karma inaanza kufanya kazi.
7. Wajali ndugu zake kwa hali na mali, na yeye ajue unawajali
Mengine yatakuja kwa ziada