NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S4745 MAMBOYA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 0; DIV-III = 0; DIV-IV = 3; DIV-0 = 2

CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S4745/0001

F

33

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0002

F

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0003

F

32

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0004

M

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0005

M

29

IV

CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'C' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

EXAMINATION CENTRE RANKING

EXAMINATION CENTRE REGION

MOROGORO

TOTAL PASSED CANDIDATES

3

EXAMINATION CENTRE GPA

4.5119

CENTRE CATEGORY

CENTRE WITH LESS THAN 40 CANDIDATES

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)

39/54

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)

1246/1439
Shukrani sana ndugu yangu...ubarikiwe mkuu
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Mkuu naomba uniangalizie iduda sec school iliopo mbeya
 
Mkuu naomba uniangalizie iduda sec school iliopo mbeya

kwa sababu wewe umeomba matokeo ya iduda sec nami sina budi kukupa kama yalivyo:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S2044 IDUDA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 6; DIV-IV = 62; DIV-0 = 72
 
Naomba ya ifunda tech
 
Taja mwanafunzi yupi...maana ya ujumla ni kama ifuatavyo>:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S0671 UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL

DIV-I = 5; DIV-II = 30; DIV-III = 54; DIV-IV = 34; DIV-0 = 0
Mkuu naomba isimila sec school
 
Send SMS to 15311

How to send SMS

  1. To get results:

    Write:

    matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year

    Example :

    matokeo*S1665*0041*k4*2014

    matokeo*M0110*0003*qt*2014

  2. To get rank:

    Write: rank*centre number*exam type*exam year

    Example : rank* S0101*k4*2014
Cost per SMS is Tshs 200/=

This service is only available for Tigo, Vodacom and Zantel
 
Mkuu naomba isimila sec school
kwa matokeo ya Isimila kwa marehemu mwl. msasimela (R.I.P) Mola amrehemu maana ile ajali yake ilikuwa mbaya sana.

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S1144 ISIMILA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 3; DIV-III = 14; DIV-IV = 77; DIV-0 = 17
 
Send SMS to 15311

How to send SMS

  1. To get results:

    Write:

    matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year

    Example :

    matokeo*S1665*0041*k4*2014

    matokeo*M0110*0003*qt*2014

  2. To get rank:

    Write: rank*centre number*exam type*exam year

    Example : rank* S0101*k4*2014
Cost per SMS is Tshs 200/=

This service is only available for Tigo, Vodacom and Zantel

Mkuu kwa hali ya maisha ilivyo bado NGUMU KUMESA HALAFU UNAWAPIGA WAKATI MIMI NISHA SAIDIA WATU ZAID YA MIA MOJA KUPATA MATOKEO YAO (KWA KUTUMIA PIA PM) BILA HATA SENTI TANO, TUWE NA HURUMA MKUU. HAYA YOTE YANAPITA TU, HEBU ZINGATIA KALIWA 200 NA MATOKEO YAMEKAA VIBAYA SI ATAKUACHIA LAANA....
 
Send SMS to 15311

How to send SMS

  1. To get results:

    Write:

    matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year

    Example :

    matokeo*S1665*0041*k4*2014

    matokeo*M0110*0003*qt*2014

  2. To get rank:

    Write: rank*centre number*exam type*exam year

    Example : rank* S0101*k4*2014
Cost per SMS is Tshs 200/=

This service is only available for Tigo, Vodacom and Zantel
Mkuuu mbona Ni 2014 na sio 2016
 
Naomba ya ifunda tech

Haya mkuu wa Ifunda Tech matokeo yako haya hapa ila wasalimie wazee wa ifunda kibaoni mpaka mafinga mjini bila kusahau wazee wa pande za nyororo.

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S0108 IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 17; DIV-II = 43; DIV-III = 32; DIV-IV = 46; DIV-0 = 4
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S4745 MAMBOYA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 0; DIV-III = 0; DIV-IV = 3; DIV-0 = 2

CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S4745/0001

F

33

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0002

F

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0003

F

32

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0004

M

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0005

M

29

IV

CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'C' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

EXAMINATION CENTRE RANKING

EXAMINATION CENTRE REGION

MOROGORO

TOTAL PASSED CANDIDATES

3

EXAMINATION CENTRE GPA

4.5119

CENTRE CATEGORY

CENTRE WITH LESS THAN 40 CANDIDATES

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)

39/54

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)

1246/1439
Naomba matokeo ya mwenye namba S3849/006 na 1163/0092
 
mkuu ukituma tuma na jina la shule pamoja na namba ya mwanafunzi husika kwa usahihi ili unirahisishie mimi kukupa majibu.
 
we pia ni mjinga coz unatetea ujinga acha ujinga JF waanze na wewe tuone huo u-great thinker wako uko wapi
umeniudhi mpaka nakuwa mwekundu
Sikulaumu maana uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo
Ni sawa na panya aliekimbilia shimo la nyoka kwa kimkimbia paka
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.

Asante sana mkuu kwa kuniwezesha kupata matokeo ya ndugu yangu, alishakosa subira ndani hakualiki na lolote halifanyiki na huku ndo mtandao wa wenye nchi umegoma.....mtumieni huyu jamaa atawasaidia sana.
 
Back
Top Bottom