NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

ENZI ZETU TULISUBIRI MATOKEO WIKI NZIMA ILA HATUKULALAMIKA
Matokeo yalikuwa yanakwenda moja kwa moja shuleni au yachapishwe kwenye gazeti. Hatukulalamika kwa sababu sababu inaeleweka.
Sasa umeweka mb zako na pesa za mawazo hivi ukitegemea utafanya fasta. Badala ya kurahisisha mambo yamegumuishwa. INAKERA MNO
 
mwita ke mwita kumbuka hii ni digitaly enzi zenu ilikuwa analogia ndomana mnasubiria wiki
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Mkuu ubarikiwe sana.
Mimi naomba matokeo ya shule mbili. S.1966 NA S.869
 
Naomba matokeo ya kambangwa sec. School
S.1022/163
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S1022 KAMBANGWA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 4; DIV-II = 12; DIV-III = 39; DIV-IV = 177; DIV-0 = 104
 
Mkuu mbna n heading tu
UNACHOKITUMA NDICHO UNACHOJIBIWA..UKIOMBA MATOKEO YA SHULE UNAPEWAA KWA UFUPI TU..ILA UKITAKA MATOKEO YA KINA UNATUMA TAARIFA KAMILI KAMA JINA LA SHULE / KITUO / NAMBA YA KITUO NA INDEX NAMBA UNATUMIWA FASTA ...NSHAWATUMIA MWATU WENGI SANA MPAKA SASA TENA BUREEEEEE KABISA. KARIBU MKUU
 
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S1022 KAMBANGWA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 4; DIV-II = 12; DIV-III = 39; DIV-IV = 177; DIV-0 = 104
Niangalizie matokeo
S.1022/163
 
UNACHOKITUMA NDICHO UNACHOJIBIWA..UKIOMBA MATOKEO YA SHULE UNAPEWAA KWA UFUPI TU..ILA UKITAKA MATOKEO YA KINA UNATUMA TAARIFA KAMILI KAMA JINA LA SHULE / KITUO / NAMBA YA KITUO NA INDEX NAMBA UNATUMIWA FASTA ...NSHAWATUMIA MWATU WENGI SANA MPAKA SASA TENA BUREEEEEE KABISA. KARIBU MKUU
Fanya fanya mambo basi mkuu PM bado sijaipata.
Sakila Secondary.
 
Back
Top Bottom