NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

Kumbe hadi jamii forums kuna under 18 du Basi najitoa maana naona wote wamemaliza form4 mwaka Jana kila mmoja anadai matokeo
 
Mbona inafunguka ukiona hivyo una kimeo

Enzi zetu kipindi kama hiki wamiliki wa stationary ndo ilikuwa kipindi cha mavuno siku hizi smart phone za kichina zinatuharibu kweli
 
Point ni kusema nertwork iko bize kutokana na jam ya watu zaid ya milion huko kutaka kuingia katika site moja kwa pamoja,
Ila suala la kusema sisi tulisubiri sijui wiki, hiyo ilikua wakati wenu ambapo masuala ya Kimtandao pengine hayakuwepo sana!!!
Tumia THL
 
View attachment 465697

Mtandao wenu hauko vizuri, wakati mwingine unafunguka na wakati haufunguki, jamani saidieni watu siyo mambo ya kutuma SMS to 15311 kwa shs 200 au mmeanzisha biashara jamani? saidieni watu.

Mimi natumia halotel ndiyo maana napata matokeo lakini wengi wanalalamika, je wale watoto wa kijijini ambao hata mb ni shida labda ameomba smartphone kwa jirani na akaweka mb za shs 500 si zitaisha bila kufanikiwa lengo lake? wasaidieni watoto wa watu.
Mimi natumia mtandao wenye nguvu ya 4G, tangu Jana nimeshindwa kabisa kuvinjari matokeo. Pamoja Na kutumia apps yao imeshindikana. Labda wanataka tufanye kazi tu tusione hata Malibu Kama ilivyo bunge.
 
Mkuu kaa. Mita 200
 
Mkuu kuna muda inakubali kuna muda haikubali kabisa.
 
kwanini uwe na haraka na mchecheto kama hukufanya subiri mtandao utulie uangalie, matokeo si yako yakuwashia nini
Mbona una kiherehere cha kuangalia wenye mchecheto? Au unawashwa na jicho lako? Mi nahangaika kukuangalizia matokeo ili nimpe dada yako tuangalie namna ya kukusaidia na div 4 yako (kama hutakuwa na zero) halafu unaleta nyodo hapa. Niakurudisha kwenye Mchambawima.
 
Back
Top Bottom