Wameteuliwa watatu naona mnaweweseka na Lucy Owenya tu.Kuipoteza Dar inawapa kichaa?Mlitegemea miujiza gani wakati namba zimekataa?Kuwa mwanaCCM inahitaji upungufu wa akili.Huyu ni mtoto wa Ndesamburo,Ndesapesa ni mfadhili mkubwa wa CHADEMA, Lucy Owenya ni mchaga. Ongeza zako hapo utajua kwanini kapewa ubunge. Kwanza alivyotoswa kugombea moshi vijijini nilishangaa sana, baadaye akatoswa viti maalum nako nikashangaa kumbe jamaa walijua kuwa bado kuna nafasi za viti maalum.