NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

Majina yalishapelekwa zamani kwahiyo kinachofanyika na tume ni kitizama list ....jina gani next,hakuna nafasi ya kuchakachua wakati kila mmoja anajuwa alipewa na na ngapi .....kwenye list
 
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
Chadema hawana bank kuu!! Maponeo ya watoto wao ni kwenye chama. Wazazi wao wamesacrifize sana kwenye hizi siasa za Bongo na CCM. CCM watoto wao wako TRA, Bank Kuu, NSSF na Balozi ni ndiyo maana hawaonekani kwenye chama.
 
Ongera dada yangu Owenya kwani niliona pengo lako mjengoni kakutane na Estar matiku, E.bulaya,H.mdee D.minja nawengine wengi kitaeleweka

Hana jipya kusema ukweli!
Kuna vijana wengi tu wa kike waliokipigania chama ambao wangepaswa kupewa hiyo nafasi.
 
Chadema hawana bank kuu!! Maponeo ya watoto wao ni kwenye chama. Wazazi wao wamesacrifize sana kwenye hizi siasa za Bongo na CCM. CCM watoto wao wako TRA, Bank Kuu, NSSF na Balozi ni ndiyo maana hawaonekani kwenye chama.
wanaonekana sana kwenye chama we unasemea ccm ipi? kuna kina kawawa, walipewa wakashindwa wenyewe, kuna kina mgimwa, nyerer, kombani, kigoda hao wote wanapewa nafasi.
 
Poti, kiukweli hawa watoto wa Mtei wananiboa sana...

hivi Wao hawawezi kutafta jimbo wakapambana huko...kazi yao kubebwa tu?...aaaahhrgh!!!!

Pamoja na kuipenda Chadema..lakini kwa huyu Owenya.hapana...

hana hoja bungeni,
Nenda kwanza kamwambie yule bint wa Madabida aliyepewa Shukran ya ubunge wa viti Maalum then njoo na mtaa wa kwetu.
Hayakuhusu
 
Wameteuliwa na NEC moja kwa moja au majina yamepelekwa na vyama/ushirika wa vyama husika? Maana bila kufahamu hilo ni vigumu kusema chochote
....Huko NEC KILA chama kilipeleka majina "MENGI" tu, vikiyapanga kwa mfuatano wa umuhimu.Hii inasaidikia kuwa kila inapopatikana nafasi, NEC inachukua jina "linalofuata" katika orodha.
 
Huyu ni mtoto wa Ndesamburo,Ndesapesa ni mfadhili mkubwa wa CHADEMA, Lucy Owenya ni mchaga. Ongeza zako hapo utajua kwanini kapewa ubunge. Kwanza alivyotoswa kugombea moshi vijijini nilishangaa sana, baadaye akatoswa viti maalum nako nikashangaa kumbe jamaa walijua kuwa bado kuna nafasi za viti maalum.
Hakutoswa! Hakufikiwa katika Orodha. Kama Chama chake kingekuwa kimepata viti vya majimbo vingi zaidi, angepata nafasi wakati ule. Ama tuseme, kama mchakato MZIMA wa uchaguzi ungemalizika Oktoba 25, basi Mh.Owenya angepata kiti chake tangu wakati ule.....
 
Majina yale yale labda mpya huyo semuguluka sijui....but wengine ni walewale
Rafiki, angalia jina vizuri.SEMUGURUKA!Binafsi, nawapongeza wote 3. Nawatakia kazi njema. Nawasihi wafanye kazi kwa uaminifu na weledi mkubwa. Mungu awabariki!
 
Hivi tukichukua ccm na chadema halafu tuangalie chama gani kinawatoto wengi ambao baba zao wananyadhifa kubwa serikalini na chamani ni chama gani kitajaza sever za JF
 
Hongera yako wewe ambaye umeolew moja kwa moja bila mkataba.Hongera mkuu kwa kupata mme.
hahaha... niwie radhi mkuu kama nmekugusa...

hata hivo hii taarifa ilitoka huko kwenu...wakulaumiwa ni ninyi wenyewe ..
 
hahaha... niwie radhi mkuu kama nmekugusa...

hata hivo hii taarifa ilitoka huko kwenu...wakulaumiwa ni ninyi wenyewe ..
Vipi umepata mabwana wangapi mkubwa,maana unaonekana unapenda sana mambo hayo......Au bado unatafuta mabwana wengine ulionao hawakutoshi.
 
Nenda kwanza kamwambie yule bint wa Madabida aliyepewa Shukran ya ubunge wa viti Maalum then njoo na mtaa wa kwetu.
Hayakuhusu
Yananihusu ndo maana nmetoa mawazo yangu...Kumbuka akishateuliwa, anakuwa mbunge wa watanzania wote bila kujali itikadi...so huna sababu ya kunambia hayanihusu....

Iruhusu akili yako ifanye kazi yake...then utauona ukweli....Acha hizo bhana
 
Back
Top Bottom