NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

Kumbe Chadema mna heshima sana kumrudisha Lucy Owenya kwa mkwara wa babaake, hii inadhirihisha kuwa Chademakaskazini ndio mpango mzima
 
Mtakuja kutoana roho kisa vyama vya siasa, naomba niamini ni utani wa jadi tu, ila kiukweli nachukizwa na jinsi watu wanavyotumia vyama na dini zao vibaya kubaguana.
 
Vijana wa UKAWA huwa wanaolewa kwa ndoa za kudumu, ndiyo maana .. vyama vyao vina ushirika na vyama vinavyounga mkono ushoga na usagaji kama alivyowahi kusema wenje.
Kama huyu hapa chini.

uploadfromtaptalk1458822065673.jpg
 
Wameteuliwa na NEC moja kwa moja au majina yamepelekwa na vyama/ushirika wa vyama husika? Maana bila kufahamu hilo ni vigumu kusema chochote

Vyama vyote huwa vinapeleka Tume ya Uchaguzi orodha ya wateule wake wa viti maalum kwa kuzingatia umuhimu wake, kwa maana ya kuwa wale walioorodheshwa namba za mwanzo ndio wanaopaswa kufikiriwa kwanza. Baada ya uchaguzi Tume hufanya hesabu zake kujua stahiki ya kila chama kulingana na idadi ya kura za urais ilizopata. Mfano iwapo CUF ilistahili nafasi 15, Tume kuwatangaza wote walioorodheshwa kuanzia namba mosi hadi 15 ndio wabunge wa viti maalum wa CUF.
 
Ndio maana nilikataa upuuzi wa kujiita sijui Mwana CCM....sujui Mwana CHADEMA! Nitaendelea kuwa Mtz huru nisiye na chama ili nivikosoe vizuri hivi vyama maana vyote viwili vimethibitisha kuwa ni vyama vya genge la watu flani wenye nguvu,si vyama vya wananchi hata kidogo kama vinavyotudanganya.
 
chadema achene kuendekeza udini ina maana hakuna muislamu wakumpa hiyo nafasi
Wewe ni ushahidi kuwa bado Kuna binadamu wapumbavu sana duniani. Mxiuuuuuuuuuu huwezi kuwaza zaidi ya uislamu. Wewe ni bahati mbaya kwa family yako, jamii yako na Dunia kwa ujumla.
Umenikera mshenzi mwaribifu wa nchi yetu.
 
Wameteuliwa na NEC moja kwa moja au majina yamepelekwa na vyama/ushirika wa vyama husika? Maana bila kufahamu hilo ni vigumu kusema chochote
Chama husika hupendekeza jina na NEC huteua! Chama lazima kiwe na modality ya namna ya kuwapata hawa!
 
Back
Top Bottom