stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,471
Hata mimi sitaki kuamini kuwa huyu ni mwalimu wa sekondari maana uandishi wake majanga!Awali ya yote mwalimu pole kwa maswaibu yaliyokupata, ila mwalimu hapo kwenye para ya kwanza nimepata ukakasi kidogo kuamini kama wewe ni mwalimu kweli. Kingine wewe kwanini usijikite kwenye masomo na kuachana na UZINZI? anyway yanayotokea sasa ni matokeo ya ......