awaaibishe wakaguru, kwani rose muhango ni mkagulu au asili yake mtu wa Tanga, sema basi tu alizaliwa huko wilaya ya kilosa? au nimekosea, nikosoeni.
harufu ya ukweliUkisikia mtu anakuambia ameokoka mfuatilie,lazima anamatatizo,kuna anayoyafanya anaficha kwenye wokovu,au uchumi umeyumba vibaya,au kaumwa sanaaaaaa.
Weka MKATABA wake hapa. Vinginevyo itaonekani ni juhudi za kumchafua tu.Ndugu semzei inawezekana unanifahamu vizuri kuwa sina pesa. Ila hiyo kidogo niloyotoa na namna nilivyoipata ndio inayonihangaisha kuona inapotea katika mazingira ambayo sikuyakusudia na kama nilivyosema hapo awali sio mara moja. Mimi ni miongoni mwa watu waliokuwa wakimtetea sana Rose. Na nafikiri miongoni mwa watu waliokuwa nae karibu sana mpaka nafikia hatua hii sio jambo ambalo nimekurupuka. Nimekuwa mstahimilivu sana.
Ninataka kumshtaki Rose mhando kwa utapeli. Tafadhari naomba wabobezi Wa kisheria hapa Ndani. Mara ya kwanza niliandaa tukio tanga hakutokea sbb alipata ajali, nilimlipa nikasamehe. Mara ya pili niliandaa tamasha Morogoro.. Nikamlipa hakutokea kwa maelezo aliyojieleza.. Mara ya tatu nimeandaa tamasha Tanga hajatokea tena mara hii nikiwa nimeandikishana nae. Kilichoniuma zaidi ni pale aliponidanganya kwa kutaka pesa zaidi na kuniambia yuko njiani anakuja nimtumie pesa ya mafuta ya Gari.. Kumbe hata wazo la kuja Kwenye tamasha. Hana mpaka sasa ameshakula zaidi ya milioni nne kwa style. Tofauti je naweza fungua kesi mahakamani. Naomba msaada. Sasa hivi nilimpigia simu hapokei..

Rose amejifungua mtoto na ananyonyesha sasa hivi...wakati unamtumia pesa alikuwa mjamzito....sasa hv bado katoto hakajapata nguvu. Kumbuka kuwa watoto wake wote 5 kila mmoja na baba yake....!! Alamsiki
Haya endelea kumtumia pesaSio kweli mzito kabwela.. Tuongee maswala ya pesa na hatua muhimu ili yeye pia imsaidie kujirekebisha ila maswala ya mtoto mmh!!! Staki kashfa zisizo nihusu.
Sasa nakushauri mshtaki kwa masau bwire yule msemaji mwenye porojo nyingi sana wa timu za mpura huyo ndiye kiboko yake atakurudishia pesa yako yoteNimejitahidi mno kuwa mstahimilivu nimeenda kila mahali panapostahili. Nimejitahidi kumtafuta ana kwa ana bado ananikwepa simu zangu hapokei tena kinachokera sio mkweli ni muongo mpaka inatisha...sio Mimi peke yangu wengi sana wamelia lakini tumekuwa tukiishia kunung'unika tu kiroho kuwa tunamuachia Mungu bt ilipofika nadhani hata Mungu mwenyewe anatuona wapuuzi.!! Huyu kama kweli bado yupo kiroho basi so kwa walio karibu sana nae.!! Naomba unishauri mpendwa namna niwezavyochukua hatua.
Kwanini anakuchezea kiasi hicho hujaonja kweli utamu wake wewe.Ninataka kumshtaki Rose mhando kwa utapeli. Tafadhari naomba wabobezi Wa kisheria hapa Ndani. Mara ya kwanza niliandaa tukio tanga hakutokea sbb alipata ajali, nilimlipa nikasamehe. Mara ya pili niliandaa tamasha Morogoro.. Nikamlipa hakutokea kwa maelezo aliyojieleza.. Mara ya tatu nimeandaa tamasha Tanga hajatokea tena mara hii nikiwa nimeandikishana nae. Kilichoniuma zaidi ni pale aliponidanganya kwa kutaka pesa zaidi na kuniambia yuko njiani anakuja nimtumie pesa ya mafuta ya Gari.. Kumbe hata wazo la kuja Kwenye tamasha. Hana mpaka sasa ameshakula zaidi ya milioni nne kwa style. Tofauti je naweza fungua kesi mahakamani. Naomba msaada. Sasa hivi nilimpigia simu hapokei..