Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,961
- 6,569
Mfute kazi wewe.Nape naona anapingana na kauli ya rais ya kupambana na wauza madawa. JK alitukanwa sana kuhusu kutaja wauza madawa. Sasa Nape anasapoti wauza madawa wasitajwe, je kwa nini asifutwe kazi?