Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,756
Mtatupa update maana wengine TV hatuna
wewe lete ushahidi acha kudanganya ummaKwaulize Philippines kama walifanya kimya kimya
Katika siasa hakuna adui au rafiki wa kudumu. Trump aliwahi kuwa ktk chama cha Democratic lakini leo adui wa chama hicho.Bavicha wamechanganyikiwa mpaka Nape amekuwa kama shujaa wao.Kuna watu walimuita vuvuzela,leo wanamsifia,Bavicha mnagua ugonjwa gani?
Amesema pia kuwa Diamond kafanikiwa kwenye muziki kwa sababu ya CCM. alipata show moja CCM kikwete akampemda basi akaenda kumtambulisha kwa wasanii wakubwa na kimataifa
Nape yupo hewani kwenye kipindi cha dak45 cha ITV. Swali la kwanza kaulizwa kuhusu ile kauli yake
ya kupinga utaratibu uliotumiwa na makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya.
==========
Habari Zaidi
Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv.
Ila naona amempinga wazi wazi mkuu wa mkoa na mbinu yake ya kupambana na madawa ya kulevya, amesema unawezaje kumtaarifu mtu kuwa unataka kumkamata? Amesema kuwa mbinu iliyotumika ndio imevuruga vita yenyewe. Amesema huwezi kwenda kuwinda halafu unapiga risasi juu, wanyama watakimbia.
Pia amesema Hii idea ya kupambana na dawa za kulevya aliianzisha yeye na alikuwa nayo na alikuwa anapanga kuipeleka bungeni. Pia idea ya shisha alikuwa nayo yeye kuizuia. .
Ni hayo tu wadau
Nape amenifurahisha sana.
Kwa kweli Bwana DAIDI BASHITE Alikurupuka sana. Yaani nazidi kuamini haya yanayosemwa kumhusu bwana DAUDI..
Alamsik
![]()

Nape anajikaangaNape yupo hewani kwenye kipindi cha dak45 cha ITV. Swali la kwanza kaulizwa kuhusu ile kauli yake
ya kupinga utaratibu uliotumiwa na makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya.
==========
Habari Zaidi
Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv.
Ila naona amempinga wazi wazi mkuu wa mkoa na mbinu yake ya kupambana na madawa ya kulevya, amesema unawezaje kumtaarifu mtu kuwa unataka kumkamata? Amesema kuwa mbinu iliyotumika ndio imevuruga vita yenyewe. Amesema huwezi kwenda kuwinda halafu unapiga risasi juu, wanyama watakimbia.
Pia amesema Hii idea ya kupambana na dawa za kulevya aliianzisha yeye na alikuwa nayo na alikuwa anapanga kuipeleka bungeni. Pia idea ya shisha alikuwa nayo yeye kuizuia. .
Ni hayo tu wadau
Nape amenifurahisha sana.
Kwa kweli Bwana DAIDI BASHITE Alikurupuka sana. Yaani nazidi kuamini haya yanayosemwa kumhusu bwana DAUDI..
Alamsik
![]()
![]()
Naita miujizaNaona Nape anampa za uso Daudi Bashite, kuhusu approach yake ya kupambana na madawa ya kulevya.
Anaeleza wazi kuwa approach yake huyo jamaa ilikuwa very wrong........