Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

jembe la CCM Nape Mnauye leo amenifurahisha zaidi kwa kuwaambia ukweli chadema ni chama cha mafisadi CCM si chama cha mafisadi chadema wakitaka wawe wasafi wamfukuze Lowasa na mm nasema hawana ubavu wa kumfukuza.

haya nyumbu karibuni
NAPE ANA AKILI NDOGO FISADI HUWA ANAFUKUZWA AU KUSHITAKIWA? KAMA YEYE ANAJUA LOWASSA NI FISADI YEYE NI WAZIRI AMFIKISHE MAHAKAMANI...HALAFU UKIONA KIJANA ANA MUUNGA MKONO NAPE BASI DARASA LAKE LINATIA MASHAKA
 
MWe upunguani huu Tanzania itaendelea kuwa shamba LA bibi,eti huyo ni kiongozi wa umma anatoa mipasho ya namna hiyo kweli?aya bhana
 
Nape amenukuliwa na kituo cha television cha AZAM TWO, akimjibu Tundu Lissu kuhusiana na kauli aliyoitoa kuwa ufisadi ni ajenda ya CHADEMA ya kudumu, Nape ameanza kumshambulia LOWASA , na akisema kuwa kama CHADEMA kina ajenda ya ufisadi kimfukuze LOWASSA.

Nimeshangazwa na uwezo mdogo alionao NAPE katika kujenga hoja kwa sababu zifuatazo, (1) kwa nafasi aliyonayo serikalini kwa sasa hakupaswa kuanza kumshambulia mtu badala ya hoja (2) hakupaswa kumtaja Lowassa kwani ufisadi wa LOWASSA hajuathibitishwa na Tume yoyote na hata mahakama yoyote (3) Lowassa alishatoka ndani ya Chama Tawala na sasa yupo upinzani kama kulikuwa na kikwazo kumpeleka mahakamani kushindwa kumfikisha mahakamani kwa sasa maelezo au madai ya Nape ni kichekesho (4) Nyuma ya LOWASSA kuna watanzania zaidi ya millioni sita kwa kiongozi kama hakupaswa kuendeeleza madai yasiyothibitishwa (5) ukiwa ni mda mchache tuu toka tuingie toka uchaguzi NAPE kama kiongozi hakupaswa kuendeleza siasa za wakati wa uchaguzi.

Nafikiri Lowassa anapaswa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya NAPE, ili aweze kuthibitisha madai yake

Suppose Lowassa anapeleka mahakamani, Na ushahidi unawasilishwa mahakamani...hudhani kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa Lowassa???????

Fahamu jambo moja katika masuala ya utendaji na hasa kwenye nafasi za kisiasa. Ukifanya kosa na kosa hilo likawa na ushahidi, unaweza ukaambiwa (kwa kukuhurumia) ujiuzulu katika nafasi uliyo nayo au ukatae na taratibu ziendelee. Ni wachache huwa wanakataa alternative hii. Wengi huwa wanatangaza wenyewe kujiuzulu na kwa kufanya hivyo kutunza heshima na kuokoa maslahi na mafao. Kwa maelezo haya sasa utajaza mwenyewe
 
New list of shame
1.Nyoka wa makengeza
2.Mama wa 10m za mboga
3.Dalali wa singasinga
4.Rizmoko wa makontena
5.Jangili la kisomali
 
Fact: Lowassa lazima hatajwe kwani ndio fisadi number one Tanzania. Chadema ndio waliosema na Tindu Lissu ni mmoja wa viongozi waliosema Lowassa ni fisadi, ingawa walijua kuwa hajaukumiwa mahakamani. Imekuwaje leo Lowassa amekuwa msafi au kwa sababu ameshare alichoiba na chadema wakathani ni Robbin Hood.
 
NAPE ANA AKILI NDOGO FISADI HUWA ANAFUKUZWA AU KUSHITAKIWA? KAMA YEYE ANAJUA LOWASSA NI FISADI YEYE NI WAZIRI AMFIKISHE MAHAKAMANI...HALAFU UKIONA KIJANA ANA MUUNGA MKONO NAPE BASI DARASA LAKE LINATIA MASHAKA
toka alipotoka pm hakupewa madaraka zaidi ya chadema wewe huwelewi au kilimanjaro imeshakuchanganya
 
K

Kule kwa kina Mao uchinani watu wa sampuli hii wakinyongwa raia wanashangilia kwa kuwa wanajua fika nchi yao itasogea,ifike mahali na ss tuupinge ufisadi kwa vitendo na sio kinafiki kama ilivyo sasa mkuu
Hadi sasa kuna kesi ngapi mahakamani na wangapi washapatikana Na hatia
 
Hii mada haitakiwi kujibiwa namna hii, hii inapaswa kujibiwa kipuuzi Kama ilivyo yenyewe kwakuwa imeletwa kwa lengo maalum
Zimelipuka mada nyingi za namna wiki iliyopita na hii hapa jamvini nia ni kututoa kwenye ishu ya Uchaguzi wa Zanzibar
Dawa ya moto ni moto
 
Kutukana sio njia sahihi lakini kwa Nape nilishaacha kumsikiliza zamani maana ukimsikiliza kwa mda wote ni kama ana ugomvi binafsi na Lowassa!! Zote hizo ni tuhuma kama yeye alivyo na tuhuma ya kutoa rushwa wakati wa kugombea ubunge!!!! Tuhuma haimpi mtu jina hadi ithibitishwe!!!! Nape hana siasa yoyote ile ila kumshambulia Lowasa!!! Watanzania sio wajinga waipe ccm kura mil 8 na Lowassa mil 6! Watu mil 6/8 ni kama nusu ya nchi imegawanyika na ni karipio za siasa chafu za kulengana!!!! Mika zaidi ya kumi Nape hana hoja yoyote isipokuwa Lowassa tuuuuu!!!!! Upo serekalini bado unalalamika jamani?!!!!!! Si unasimamia sheria kwa sasa au?!!!!!
 
Suppose Lowassa anapeleka mahakamani, Na ushahidi unawasilishwa mahakamani...hudhani kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa Lowassa???????

Fahamu jambo moja katika masuala ya utendaji na hasa kwenye nafasi za kisiasa. Ukifanya kosa na kosa hilo likawa na ushahidi, unaweza ukaambiwa (kwa kukuhurumia) ujiuzulu katika nafasi uliyo nayo au ukatae na taratibu ziendelee. Ni wachache huwa wanakataa alternative hii. Wengi huwa wanatangaza wenyewe kujiuzulu na kwa kufanya hivyo kutunza heshima na kuokoa maslahi na mafao. Kwa maelezo haya sasa utajaza mwenyewe
1. Vipi kuhusu Muhongo na Maswi unalizungumziaje?
2. Unaweza kutuambia ile mitambo iliyomuingiza Lowassa kwenye kashfa ya ufisadi kwa sasa iko wapi?
3. Je fedha ambazo bado Tanesco wanalipa ni nani anapokea fedha hizo?
 
Hoja ni ufisadi...ili ieleweke vizuri, lazima mtu atajwe.Hatutaki mambo ya kufumbiana macho hapa. Na usitarajie ufisadi ufanywe na kuku, ni binadamu na anayefanya ufisadi lazima abainishwe bila kupepesa macho.

Na ikiwa Lowassa anaona anaonewa (kama yeye mwenyewe anavyopenda kutumia hili neno) basi aende Mahakamani. Tutakutana nae huko. Ila napenda kurudia tena hapa, Lowassa ni fisadi mkuu.
Huyo nape ni mahakama skuhizi
 
Tunafika mbali, yeye kwa sasa anatakiwa kuheshumu watu, kama Lowasa ana tuhuma na yeye anazo so wote ni watuhumiwa, kwa sasa uchaguzi umeisha na ni waziri basi aache kabisa siasa za kulengana tena akomae kidogo na kufanya siasa za hoja! Hata hivyo inaonekana ana ugomvi binafsi na Lowassa lakini kwa sababu nyingi binafsi! Lakini napingana na watu mnamtukana Nape au kigusa vifo vya wazazi wake!!!!! Tutofautiane nao kwa hoja na mnapofurahia vifo vya wazazi wake mnatofautiana kipi na wao waliokuwa wanamchuria Lowassa kifo?!!! Tuonyeshe tofauti za wazi otherwise ni sumu iile ile kwenye vikombe tofauti!!!
 
Suppose Lowassa anapeleka mahakamani, Na ushahidi unawasilishwa mahakamani...hudhani kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa Lowassa???????

Fahamu jambo moja katika masuala ya utendaji na hasa kwenye nafasi za kisiasa. Ukifanya kosa na kosa hilo likawa na ushahidi, unaweza ukaambiwa (kwa kukuhurumia) ujiuzulu katika nafasi uliyo nayo au ukatae na taratibu ziendelee. Ni wachache huwa wanakataa alternative hii. Wengi huwa wanatangaza wenyewe kujiuzulu na kwa kufanya hivyo kutunza heshima na kuokoa maslahi na mafao. Kwa maelezo haya sasa utajaza mwenyewe
...usitake kuleta story zako za vijiweni;Lowassa kawaambia mpelekeni mahakamani,full stop.Mnajishaua shaua nini,suppose...suppose dadako!
 
yaani mtu aliowaita NYUMBU wafuasi wa chadema anaakili sana.
naamini hilo jina limeaandikwa mpaka mbinguni
 
asante sana nape. moja ya majembe ya kazi ndani ya ccm. umenifurahisha sana leo. kubweka wabweke, endelea kutupa raha. mbele kwa mbele.
 
Suppose Lowassa anapeleka mahakamani, Na ushahidi unawasilishwa mahakamani...hudhani kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa Lowassa???????

Fahamu jambo moja katika masuala ya utendaji na hasa kwenye nafasi za kisiasa. Ukifanya kosa na kosa hilo likawa na ushahidi, unaweza ukaambiwa (kwa kukuhurumia) ujiuzulu katika nafasi uliyo nayo au ukatae na taratibu ziendelee. Ni wachache huwa wanakataa alternative hii. Wengi huwa wanatangaza wenyewe kujiuzulu na kwa kufanya hivyo kutunza heshima na kuokoa maslahi na mafao. Kwa maelezo haya sasa utajaza mwenyewe
Msuguano wa Nape na lowasa haukuanza leo. Kuna uzi humu "Nape VS Lowasa" ulioanzishwa 2011 na baadaye kufungwa na mods. Kwenye uzi huo wengine tuliandika hiyo 2011 kwamba ni lowasa atakayekuja kukimbia ccm, tulichoshindwa kuona kipindi hicho ni kwamba chadema yetu pendwa ndiyo ingekuja kuwa hifadhi ya hili fisadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom