Nape amjibu Lissu: Kama CHADEMA mnachukia ufisadi, mfukuzeni Lowassa

ch
jembe la CCM Nape Mnauye leo amenifurahisha zaidi kwa kuwaambia ukweli chadema ni chama cha mafisadi CCM si chama cha mafisadi chadema wakitaka wawe wasafi wamfukuze Lowasa na mm nasema hawana ubavu wa kumfukuza.

Chizi kalogwa tena
 
Shida yenu ni chuki na ubaguzi hamna lolote majambazi wakubwa.Huyo Nape Alishindwa kumwambia mwenyekiti wake aache kuiba Makonteina leo tunachokisikia hata masikio hawataki kuyasikia.Kumbe wale wateuliwa wenu kazi yao ilikuwa kukwapua Makonteina na kulikosesha Taifa mapato.
Nape hatakiwi hata kufungua mdomo wake na kuropoka
unaushahidi au chuki zako
 
Huyo nape anaweza magoli ya mkono tu, ccm hata hatua moja hawajapiga, wananza kejeli, wakumbuke escrow bado mbichi
 
Wajina eeeh,mwambie huyo

Unajua kuna mambo wakati mwinginw tunafanya wanadamu tukitegemea kupata sifa tuu bila kutafakari kwa kina. Laiti kama angelitulia na kutafakari asingeleta huuu upu.pu hapa ndani.

Matokeo ya ufisadi sio ya kushabikia hata kidogo, ni vita ambayo tunapaswa tuichukulie umakini na kuwe serious sana kwenye hili suala, linadumaza sana maendeleo ya nchi na kunyima haki za watu wengi sana. Sasa mtu anapokuja na mada za kishabiki kama hizi kwakweli inaboa sana
 
Inabidi wewe na Nape mkapimwe Akili. Tangu lini CCM ikatengana na UFISADI? Yule aliyeuza nyumba za Serikali na sasa kapangishwa sehemu ambayo shombo ya samaki na moshi wa moto wa kukaangia samaki vinaishia yeye aitwe nani? Na yule wa Kiwira na NBC? Huyu wa Makontena apewe jina gani? Kuna aliyetajwa kwenye report ya PAC kuwa dalali wa Yule Singasinga, sijui cku hizi yuko wapi, unaweza niambia?(kuna fununu yumo kwenye cabinet). Ujangili je ni ufisadi ama? N.k, n.k, n.k.
nyumba za serikali ziliuzwa kihalali na waliuziwa watumishi wa serikali ulitaka auziwe mbowe NBC alioifilisi ni wa kwenu aliouza kwa bei ya kutupwa mtu wa kwenu hata mkiambiwa nyinyi mafisadi msilalamike akina chasaka
 
Lisu, Mbowe, mnyika nilishawasikia kwa miaka kumi wakituonya watz tusichague lowasa kuwa ni fisadi amefilisi nchi na anasitahili kuwa jela.

Kwa hiyo watz tuliompigia kura Magufuli tulifuata ushauri wao.
 
WEWE NDIO UNA UWEZO MDOGO WAVKUFIKIRI. CHADEMA WALIHUBIRI MIAKA 8 KWAMBA LOWASSA NI FISADI ASIYESAFISHIKA. MBONA WANAYE NA ALIGOMBEA URAIS? LISSU AACHE UNAFIKI!
 
Hoja ni ufisadi...ili ieleweke vizuri, lazima mtu atajwe.Hatutaki mambo ya kufumbiana macho hapa. Na usitarajie ufisadi ufanywe na kuku, ni binadamu na anayefanya ufisadi lazima abainishwe bila kupepesa macho.

Na ikiwa Lowassa anaona anaonewa (kama yeye mwenyewe anavyopenda kutumia hili neno) basi aende Mahakamani. Tutakutana nae huko. Ila napenda kurudia tena hapa, Lowassa ni fisadi mkuu.
 
K
Unajua kuna mambo wakati mwinginw tunafanya wanadamu tukitegemea kupata sifa tuu bila kutafakari kwa kina. Laiti kama angelitulia na kutafakari asingeleta huuu upu.pu hapa ndani.

Matokeo ya ufisadi sio ya kushabikia hata kidogo, ni vita ambayo tunapaswa tuichukulie umakini na kuwe serious sana kwenye hili suala, linadumaza sana maendeleo ya nchi na kunyima haki za watu wengi sana. Sasa mtu anapokuja na mada za kishabiki kama hizi kwakweli inaboa sana

Kule kwa kina Mao uchinani watu wa sampuli hii wakinyongwa raia wanashangilia kwa kuwa wanajua fika nchi yao itasogea,ifike mahali na ss tuupinge ufisadi kwa vitendo na sio kinafiki kama ilivyo sasa mkuu
 
Inabidi wewe na Nape mkapimwe Akili. Tangu lini CCM ikatengana na UFISADI? Yule aliyeuza nyumba za Serikali na sasa kapangishwa sehemu ambayo shombo ya samaki na moshi wa moto wa kukaangia samaki vinaishia yeye aitwe nani? Na yule wa Kiwira na NBC? Huyu wa Makontena apewe jina gani? Kuna aliyetajwa kwenye report ya PAC kuwa dalali wa Yule Singasinga, sijui cku hizi yuko wapi, unaweza niambia?(kuna fununu yumo kwenye cabinet). Ujangili je ni ufisadi ama? N.k, n.k, n.k.
bila kusahau mw/kiti wetu wa maadili wa chama chetu andrew chenge
 
Ukweli unauma sana maana hawa wenzetu wakiambiwa ukweli wanakana.

Kama Lowassa sio fisadi, kwa nini alijiuzulu cheo chake cha waziri Mkuu?

Je, kwa nini akina Mbowe, Lissu, Mbatia na wengineo walimpigia kelele bungeni wakimuita fisadi?

Penye ukweli tuwe wakweli tusipindishe mambo.
 
Kama LOWASA ni fisadi kashasema mpelekeni mahakamani mbona hamumpelaki ? waziri analalamika LOWASSA fisadi si ampeleka mahakamani ? Sasa waandishi wa habari ni mahakimu wa ufisadi huoni hizo ni siasa za kitoto?
 
Kama lowasa ndie anafanya chama kuwa chakifisadi je tokea anejiuzulu n mafisadi wangapi wameibuka kwenye chama chake na bado wananyazifa mbalimbali??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom