jembe la CCM Nape Mnauye leo amenifurahisha zaidi kwa kuwaambia ukweli chadema ni chama cha mafisadi CCM si chama cha mafisadi chadema wakitaka wawe wasafi wamfukuze Lowasa na mm nasema hawana ubavu wa kumfukuza.
Chizi kalogwa tena
unaushahidi au chuki zakoShida yenu ni chuki na ubaguzi hamna lolote majambazi wakubwa.Huyo Nape Alishindwa kumwambia mwenyekiti wake aache kuiba Makonteina leo tunachokisikia hata masikio hawataki kuyasikia.Kumbe wale wateuliwa wenu kazi yao ilikuwa kukwapua Makonteina na kulikosesha Taifa mapato.
Nape hatakiwi hata kufungua mdomo wake na kuropoka
Ndo hapo sasa mkuu nashangaa kweli watu wanaotumia akili ndogo ndo walivo usishangaeTanzania nzima fisadi ni Lowassa tu?
Wajina eeeh,mwambie huyo
nyumba za serikali ziliuzwa kihalali na waliuziwa watumishi wa serikali ulitaka auziwe mbowe NBC alioifilisi ni wa kwenu aliouza kwa bei ya kutupwa mtu wa kwenu hata mkiambiwa nyinyi mafisadi msilalamike akina chasakaInabidi wewe na Nape mkapimwe Akili. Tangu lini CCM ikatengana na UFISADI? Yule aliyeuza nyumba za Serikali na sasa kapangishwa sehemu ambayo shombo ya samaki na moshi wa moto wa kukaangia samaki vinaishia yeye aitwe nani? Na yule wa Kiwira na NBC? Huyu wa Makontena apewe jina gani? Kuna aliyetajwa kwenye report ya PAC kuwa dalali wa Yule Singasinga, sijui cku hizi yuko wapi, unaweza niambia?(kuna fununu yumo kwenye cabinet). Ujangili je ni ufisadi ama? N.k, n.k, n.k.
wee nae unauliza jibu? kwani hujui hao ni team lowassa?Kamuulize wale Magufuli aliogopa kuwanadi kwenye kampeni ni kinanani?
tumeshasoma sana nakushauri uendelee kusoma ili uwe na ulewa dr slaa aliwambia mmeweke choo chumbani hamuelewiNape na ww wote mkasome sana
Unajua kuna mambo wakati mwinginw tunafanya wanadamu tukitegemea kupata sifa tuu bila kutafakari kwa kina. Laiti kama angelitulia na kutafakari asingeleta huuu upu.pu hapa ndani.
Matokeo ya ufisadi sio ya kushabikia hata kidogo, ni vita ambayo tunapaswa tuichukulie umakini na kuwe serious sana kwenye hili suala, linadumaza sana maendeleo ya nchi na kunyima haki za watu wengi sana. Sasa mtu anapokuja na mada za kishabiki kama hizi kwakweli inaboa sana
bila kusahau mw/kiti wetu wa maadili wa chama chetu andrew chengeInabidi wewe na Nape mkapimwe Akili. Tangu lini CCM ikatengana na UFISADI? Yule aliyeuza nyumba za Serikali na sasa kapangishwa sehemu ambayo shombo ya samaki na moshi wa moto wa kukaangia samaki vinaishia yeye aitwe nani? Na yule wa Kiwira na NBC? Huyu wa Makontena apewe jina gani? Kuna aliyetajwa kwenye report ya PAC kuwa dalali wa Yule Singasinga, sijui cku hizi yuko wapi, unaweza niambia?(kuna fununu yumo kwenye cabinet). Ujangili je ni ufisadi ama? N.k, n.k, n.k.