namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
- Thread starter
- #21
Muhudumu wa afyaWe una kazi gani?
Muhudumu wa afyaWe una kazi gani?
Naishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeniAnaishi kwenye nyumba yako ama yake?
Sifa zake zote ulizozieleza kwenye aya ya kwanza naona kama atakusumbua sana..Sijakuelewa mkuu
We nawe!!Naishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeni
Sema kajichubua,hio kiasi ni wewe umesemaNi takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi, kinachonistua zaidi maongezi yake yamejaa kutaja majina ya Afande fulani, washa gari nendeni sehem fulani.
Simu za usiku wa manane haziishi mara muda mwingine nikistuka najikuta nipo kitandani peke yangu nikitoka nakuta yupo nje anaongea na simu nikijaribu kunyata na kusikilza nasikia maongezi ya stahili hiyo mara chukua magazini kadhaa muondoke nazo.
Baada ya kuona hivyo nilifanya uchunguzi wangu kiitelijensia nikatumia mbinu za Delila kujua password ya simu yake iphone 14 pro max nikafanikiwa siku kaenda kuoga nikatumia muda huo kuangalia majina hayo sikuona jina hata moja la polisi yoyote wa afande flani naona majina mbele yamejaa makopa kopa tu na maua na majina ya watu wa kwenye vikoba vyake kama (aisha upatu, mwajuma kikoba, rose kijumbe) majina tajwa ni mifano tu yalivyoseviwa hivyo.
Kazi yake aliniambia mwanasheria lakini sioni hata dalili za uanasheria pale nikimwambia nije ofisini kwako nikuone hataki, kuna siku nilimuliza kazi yake kamili nilipatasha vitisho hatari na nikijaribu kumuliza swali hilo tena naweza kila makofi na mapenzi kuvunjwa sasa wanajamvi kinachonipa maswa na kuomba ushauri ni kuwa inaweza kua ni
1. Kahaba professional kulingana na muonekano wake?
2. Au kitengo kwenye mambo ya usalama
3. Au kweli mwanasheria manake haelewiki anakula pombe hata kreti mbili anaweza kula pombe siku tatu nzima.
Kwa watalamu wa haya mambo kuwadetect watu wanijuze nisije kua nimeingia kwa mtu wa kitengo au kahana professional vikuku vinanitisha sana.
Sasa unapouliza uendelee nae au umuache ? Utashindwa kueleweka kama mwanaume halisi mwenye maamuzi magumu na sahihi, kwasababu Akili Mungu aliyokupa inakutosha kabisa kuyahimili mazingira yako na mahusiano kwa ujumla na huhitaji nyingine.....man up broNiendelee nae au nisonge mbele nipige chini
Kwa ukahaba etySifa zake zote ulizozieleza kwenye aya ya kwanza naona kama atakusumbua sana..
Aseee pale naweza kusema ni mwanamke kimaumbile ila kwa mishe mishe za simu kama mwanaume tuSasa mkuu unaishi na mwanamke au mwanaume mwenzio.
Mpaka nimekuja hapa mkuu nipo half half yani sielewi nakusanya point then nakuja na comeback ya maanaSasa unapouliza uendelee nae au umuache ? Utashindwa kueleweka kama mwanaume halisi mwenye maamuzi magumu na sahihi, kwasababu Akili Mungu aliyokupa inakutosha kabisa kuyahimili mazingira yako na mahusiano kwa ujumla na huhitaji nyingine.....man up bro
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Je kuna uhusiano wowote kati ya "kula" Pombe na kuwa mwanasheria?3. Au kweli mwanasheria manake haelewiki anakula pombe hata kreti mbili anaweza kula pombe siku tatu nzima.
Hapo una afadhali, ni rahisi sana wewe kumtoroka manake huko mbele atakuja kukuletea matatizo makubwa sana, tafuta mtoto mbichi ishi nae mjenge maisha, mtu kama huyo ni rahisi sana kukuua ndugu yangu, hana sifa za mwanamke wa kuoaNaishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeni
Huyo ALIKUA anasubiri KWA hamu sana type yako,yawezekana akikataa na tamaa kabisa,SASA umejileta kwenye maisha yake,atakuganda sana !wa aina hii mara nyingi wanakuendwsha sana yaani wewe ndio unakua umeolewa vile!Mpaka nimekuja hapa mkuu nipo half half yani sielewi nakusanya point then nakuja na comeback ya maana
Hakuna uhusiano mkuuJe kuna uhusiano wowote kati ya "kula" Pombe na kuwa mwanasheria?
Ndo unipe muongozo mkuu kivipi yani kwasababu ya muonekano wake wa kikahaba au mambo yake ya kisiri ndo yatakayo niangamizaHapo una afadhali, ni rahisi sana wewe kumtoroka manake huko mbele atakuja kukuletea matatizo makubwa sana, tafuta mtoto mbichi ishi nae mjenge maisha, mtu kama huyo ni rahisi sana kukuua ndugu yangu, hana sifa za mwanamke wa kuoa
Kwenye jambo la kupelekeshwa nimeficha tu ila dah ijapokua kuna maokoto ya kutosha sana yaniHuyo ALIKUA anasubiri KWA hamu sana type yako,yawezekana akikataa na tamaa kabisa,SASA umejileta kwenye maisha yake,atakuganda sana !wa aina hii mara nyingi wanakuendwsha sana yaani wewe ndio unakua umeolewa vile!
"Huwezi nipotezea muda"yaani hataki mwachane kabisa mkuu
Peleka posa mkuu!
Kwanza kabisa elewa kuwa angekuwa anakupenda kutoka moyoni asingekaa muonekano wa kikahaba nje ya nyumba yenu yaani mambo hayo angekuwa anakuonesha wewe tu, lakini kitendo cha yeye kuonesha watu wengine pia bado kuna kitu anakitafuta kwa hao watu,Ndo unipe muongozo mkuu kivipi yani kwasababu ya muonekano wake wa kikahaba au mambo yake ya kisiri ndo yatakayo niangamiza
Ila kwenye jambo la umalaya tangu nipo nae sijawahi kumfuma na simu kila kila nikiangalia sioni hizo mishe za kunicheat ila muonekano wake tu ndo unanipa wasiwasiKwanza kabisa elewa kuwa angekuwa anakupenda kutoka moyoni asingekaa muonekano wa kikahaba nje ya nyumba yenu yaani mambo hayo angekuwa anakuonesha wewe tu, lakini kitendo cha yeye kuonesha watu wengine pia bado kuna kitu anakitafuta kwa hao watu,