Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 423
- 1,082
Habari wadau!
Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo!
Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili!
Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya!
Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake!
Sasa kwanini ndani ya mkoa huohuo! Unakutana na mikoa ya kitaasisi vitu ambavyo vinatuchanganya kama
Naomba ufafanuzi TAMISEMI na wataalam hivi hakuna namna kukawa na lugha moja ya kiutawala iendane na taasisi
maana ni vingumu sana kuelewesha watoto wakaelewa mkoa ni kitu uliopo ndani ya mkoa!

- Mkoa wa kipolisi kinondoni/temeke/ilala? (Kwanini wasingesema kanda ya kipolisi kinondo?
- Unakuta bango limeandikwa Hospitali ya Mkoa wa temeke, sasa unajiuliza kwanini wasiandike hospital kuu ya kanda ya temeke?
- Ofisi ya mganga mkuu wa mkoa iko katika hospital ya wilaya!
- Mkoa wa kikodi kinondoni, temeke, n.k kwani wasiseme kanda ya kikodi
- Mkoa wa kitanesco Magomeni/ ilala/ kurasini kwanini wasiseme kanda ya tanesco n.k